Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJINA YA WALIOTEULIWA UBUNGE, UWAKILISHI NA VITI MAALUM CCM YATANGAZWA RASMI

 Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akionyesha kitabu cha Ilani ya Uchaguzi ya 2015-2020 ya CCM wakati wa kufunga kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa mara baada ya kumaliza zoezi la kupitisha majina ya wagombea Ubunge na Uwakilishi mjini Dodoma.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Dk. Ali Mohamed Shein na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akipitia orodha...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Ubunge Viti Maalum CCM Waibua Mapya Singida

Kinyang’anyiro cha ubunge wa viti maalum katika mkoa wa Singida  kimeibua mapya, baada ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Wilaya ya Ikungi, Christina Hamis, kutishia kususia kuingia kwenye ofisi za jumuiya hiyo na kuhama chama.


Mwenyekiti huyo anakusudia kuchukua uamuzi huo kwa madai kuwa Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Aluu Segamba, anamlazimisha amuunge mkono mgombea ubunge wa Viti Maalumu (CCM), Wema Sepetu.
Christina alisema pamoja na kwamba yeye ni...

 

10 years ago

Vijimambo

UWT YAANZA VIKAO VYA UTEUZI WA WAGOMBEA UBUNGE VITI MAALUM KUPITIA CCM

JUMUIYA ya Umoja wa Wanawake Tanzania iliyo chini ya Chama Cha Mapinduzi CCM, imeanza vikao vya uteuzi wa wanaogombea ubunge viti maalum huko makao makuu ya CCM Dodoma. Mkutano huo unaongozwa na mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Sophia Simba. Pichani Baadhi ya Wapambe wa Wagombea kupitia Jumuiya ya Wanawake ya Chama cha Mapinduzi (UWT) wakipita na mabango yenye picha za Wagombea wao nje ya ukumbi wa mikutano wa NEC Dodoma kabla ya kuanza mkutano wa uchaguziMwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mshindi wa nafasi ya ubunge viti maalum CCM mkoa wa Singida, ampongeza msimamizi wa uchaguzi, Dk.Kone

IMG_1615

Mshindi wa kwanza wa nafasi ya ubunge viti maalum CCM mkoa wa Singida, Aysharose Ndogholi Mattembe, akiwashukuru wapiga kura 318 (hawapo kwenye picha). Aysharose  ambaye ni Mkurugenzi wa shule ya British Zanzibar ya Kisauni Zanzibar, alipata ushindi huo mnono baada ya kuwabwaga wapinzani wake 13 kwenye uchaguzi uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa kanisa katoliki mjini hapa. IMG_1574 Mshindi wa kwanza wa nafasi ya ubunge viti maalum CCM mkoa wa Singida, Aysharose Ndogholi Mattembe (kulia)...

 

10 years ago

Dewji Blog

Phidesia Mwakilima aibuka kidedea uchaguzi wa Ubunge wa viti maalum kupitia tiketi ya Jumuiya ya Wazazi CCM

http://2.bp.blogspot.com/-RCy23A0BZXU/VXGrU4TGNzI/AAAAAAAAPCU/JU7jwGuH2Mw/s1600/11390351_860026487378599_5734199586013076232_n.jpg

Mwanadada  Phidesia Mwakilima.

Na Woinde Shizza, wa libeneke la kaskazini blog

Mkurugenzi wa kampuni ya Phide Entertainment  ambaye pia ni Meneja masoko wa  kituo cha redio Triple A ya Arusha, Phidesia Mwakilima, ameibuka kidedea kwenye uchaguzi wa mbunge viti maalum kupitia Jumuiya ya wazazi (UWT) Chama cha Mapinduzi mkoa wa Arusha.

Phidesia Mwakilima, amepata kura 18 na kuwashinda, Aimbora Nnko, aliyepata kura 6, Angela Mwanri kura 4 na Anna John kura 2 ,uchaguzi huo umefanyika ukumbi wa...

 

9 years ago

GPL

ANGALIA MAJINA YA WANACHAMA WA CCM WALIOTEULIWA KUGOMBEA NA MAJIMBO YAO

TAARIFA RASMI KWA VYOMBO VYA HABARI WANACHAMA WA CCM WALIOTEULIWA KUGOMBEA UBUNGE NA UWAKILISHI WA MAJIMBO NA VITI MAALUM KATIKA UCHAGUZI WA MWAKA 2015 NA. MKOA WILAYA JIMBO ALIYETEULIWA 1. Arusha Arusha Mjini Arusha Ndugu Philemon Mollel Karatu Karatu Dkt. Wilbard…

 

10 years ago

Vijimambo

Msanii maarufu wa Bongo movie, Irene Uwoya ameshinda kura za maoni Ubunge Viti Maalum(vijana)Tabora, kwa tiketi ya CCM


Msanii maarufu wa Bongo movie, Irene Uwoya ameshinda kura za maoni Ubunge Viti Maalum(vijana)Tabora, kwa tiketi ya CCM
-Amepata kura 38 huku mpinzani wake akipata kura 34Tarime Mjini na Tarime Vijijini zoezi la kupiga kura limeahirishwaKumetokea vurugu kwenye mchakato wa kura za maoni CCM hapa Tarime, kwani zimekutwa karatasi za kupigia kura zaidi ya 25000 zikiwa zimeshatikiwa majina ya wagombea wawili MH GAUDENSIA KABAKA (TARIME MJINI) na NYAMBARI NYANGW'INE (TARIME VIJIJINI).Kutokana na...

 

11 years ago

GPL

HATIMAYE MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KWA AJILI YA MAISHA PLUS/MAMA SHUJAA WA CHAKULA YATANGAZWA RASMI

Kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally (Kipanya) , Sharon Mariwa  Meneja wa Mahusiano OXFAM, Francis Bonda(Kaka Bonda) Mkurugenzi wa Usanifu katika Kampuni ya DMB pamoja na Mkamiti Mgawe Afisa utetezi wa haki za kiuchumi OXFAM, wakati wa kutangaza rasmi majina ya waliochaguliwa katika Maisha Plus/ Mama Shujaa wa Chakula leo.
Afisa Mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani