Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majina yatakayowania Tuzo za Watu 2015 yatangazwa

Majina yaliongia kwenye hatua ya tano bora kwenye Tuzo za Watu 2015 yametangazwa rasmi Ijumaa hii. Hiyo ni baada ya siku kadhaa za kuhesabu mapendekezo yaliyokuwa yakitumwa na wananchi kwa kipindi cha wiki tatu tangu kuzinduliwa kwa tuzo hizo. Zoezi la kupiga kura linafunguliwa rasmi Jumamosi hii, April 25. Haya ndio majina matano yaliyoingia kwenye […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

News alert: Majina yatakayowania Tuzo za Watu 2015 yatangazwa

Majina yaliongia kwenye hatua ya tano bora kwenye Tuzo za Watu 2015 yametangazwa rasmi Ijumaa hii. Hiyo ni baada ya siku kadhaa za kuhesabu mapendekezo yaliyokuwa yakitumwa na wananchi kwa kipindi cha wiki tatu tangu kuzinduliwa kwa tuzo hizo.
Zoezi la kupiga kura linafunguliwa rasmi Jumamosi hii, April 24.
Haya ndio majina matano yaliyoingia kwenye tano bora:

Mtangazaji wa redio anayependwa TZW1         
Dida – Times FMD’Jaro Arungu – TBC FMDiva – Clouds FMMariam Kitosi – Times FMMillard Ayo –...

 

11 years ago

Michuzi

BONGO5 MEDIA GROUP YATANGAZA MAJINA YATAKAYOWANIA TUZO ZA WATU TANZANIA, 2014

Tarehe 29 April, Bongo5 Media Group ilizindua rasmi tuzo za watu Tanzania kwa mwaka 2014. Uzinduzi huo ulienda sambamba na kuanza rasmi kwa mchakato wa kupendekeza majina yatakayoingia kwenye tuzo za mwaka huu. Wananchi walishiriki kupiga kura kupitia njia ya mtandao kwenye tovuti ya www.tuzozetu.com, na kwa njia ya ujumbe mfupi wa  simu za mkononi.


Awamu ya kwanza ya upigaji kura iliyodumu kwa wiki mbili na siku kadhaa imekua ikikusanya majina matano kwenye kila kipengele kama ifuatavyo:...

 

10 years ago

Bongo5

Majina ya wanaowania tuzo za 2015 Grammy Awards yatangazwa, zitatolewa Feb. (orodha kamili)

Majina ya wasanii wanaowania tuzo kubwa za Grammy Awards yametangazwa Ijumaa Dec 5. Pharrell Williams na Ed Sheeran ndio wanaowania vipengele vikubwa vinne kikiwemo cha album bora ya mwaka. Wengine waliotajwa kuwania tuzo hizo ni pamoja na Beyonce, Iggy Azalea, Drake, Nicki Minaj, Chris Brown, Kanye West na wengine. Beyonce pia ametajwa kuwa ndio msanii […]

 

9 years ago

Bongo5

Majina ya walioingia fainali ya tuzo za ‘CNN MultiChoice African Journalist 2015’ yatangazwa, Mtanzania yuko mmoja

Kama ilivyokuwa mwaka jana, sekta ya habari Tanzania mwaka huu (2015) pia imepata bahati ya kuwa na mwakilishi mmoja aliyechaguliwa kuingia kwenye fainali za ‘CNN MultiChoice African Journalist 2015’ zitakazofanyika mwezi Octoba jijini Nairobi, Kenya. Majina ya waandishi wa habari walioingia fainali yametangazwa (Sept 14) . Mr Abubakari Akida Mussa wa gazeti la Mtanzania ndiye […]

 

10 years ago

Bongo5

Sababu za kuchelewa kutangaza majina yaliyoingia kwenye Top 5 ya tuzo za watu 2015

Tunapenda kuwaomba radhi wananchi kwa kushindwa kutangaza majina yaliyoingia kwenye hatua ya tano bora katika vipengele 14 vinavyoshindaniwa kwenye Tuzo za Watu 2015. Hii imetokana na sababu mbalimbali ambazo zimekuwa nje ya uwezo wetu. Sababu hizo ni pamoja na: 1. Zoezi la kukusanya na kuhesabu mapendezo kuwa refu kutokana na wingi wa kura kuliko ilivyotarajiwa […]

 

10 years ago

Vijimambo

MAJINA WATAKAOSHINDANIA TUZO ZA WATU


Mtangazaji wa redio anayependwa TZW1         
Dida – Times FMD’Jaro Arungu – TBC FMDiva – Clouds FMMariam Kitosi – Times FMMillard Ayo – Clouds FM
Kipindi cha redio kinachopendwa TZW2
Ala     za Roho – Clouds FMAmplifaya – Clouds FMHatua Tatu – Times FMPapaso – TBC FMXXL – Clouds FM

Mtangazaji wa runinga anayependwa TZW3     
Abdallah ‘Dullah’ Ambua - EATV  Salama Jabir – EATV/Maisha MagicSalim Kikeke – BBC SwahiliSam  Misago - EATVZamaradi Mketema – Clouds TV

Kipindi cha runinga kinachopendwa...

 

11 years ago

GPL

MAJINA YA TUZO ZA WATU YALIYOPATIKANA KUTOKANA NA MAPENDEKEZO YA WANANCHI

1. MTANGAZAJI WA REDIO ANAYEPENDWA
1. Vanessa Mdee – Choice FM
2. Millard Ayo – Clouds FM
3. Hamis Mandi aka B12 – Clouds FM
4. Mariam Kitosi – Times FM
5.Ergon Elly – Mbeya Highlands FM 2. KIPINDI CHA REDIO KINACHOPENDWA
1. The Hitlist – Choice FM
2. Xxl – Clouds FM
3. Amplifaya – Clouds FM
4. Hatua Tatu – Times FM
5. Power Breakfast- Clouds FM 3....

 

10 years ago

Bongo5

Majina yaliyoingia kwenye fainali (Top 3) ya tuzo za watu yametoka

Baada ya wiki kadhaa za mpambano mkali wa kura za tuzo za watu, leo tunapenda kutangaza majina matatu katika kila kipengele yaliyoingia kwenye fainali. Majina hayo yamefanikiwa kuingia baada ya kuvuka michujo miwili migumu. Ni kura za mashabiki peke yake ndio zimewaingia kwenye fainali hiyo, hakuna kingine. Fainali za tuzo za watu mwaka huu zitafanyika […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Majina ya Wanaowania Tuzo za Filamu Mwaka 2015 Haya Hapa

Waandaaji wa tuzo kubwa kufanyika za filamu Tanzania Film Awards 2015 (TAFA) yametajwa rasmi na tayari kwa kupigiwa kura baada ya namba za majina hayo kutoka katika ukumbi wa Hotel ya New Africa,  mmoja kati  ya waratibu wa tuzo hizo Teacher Issa Mbura alieleza kuwa tuzo hizo zitakuwa na vipengele kumi na mbili tu, na baadae kulingana na mahitaji vinaweza kuongezeka kwa miaka ijayo.

Majina ya wanaowania tuzo hizo hayo hapo chini fuatilia na kwa makini kisha jiandae kumpigia kura msanii wako...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani