Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJUTO AREJEA TOKA MAKKA SHAVU DODO!

Gladness Mallya na Hamida Hassan MABADILIKO! Baada ya kunusurika kwenye vifo vya mkanyagano vilivyoua mahujaji zaidi ya 4000 waliokwenda kuhiji katika mji wa Mina, Makka nchini Saudi Arabia, staa wa filamu za Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amerejea salama akiwa shavu dodo na kusema ameachana na maisha ya zamani, sasa amekuwa mtu wa tofauti kabisa. Staa wa filamu za Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ alipowasili toka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BANZA AANIKA SIRI YA SHAVU DODO LAKE

Stori: Gladness Mallya
Wenye kumbu-kumbu wanafahamu jinsi mwanamuziki wa Bendi ya Extra Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza’ alivyokuwa amekonda lakini sasa anaonekana kuwa na shavu dodo kiasi cha baadhi ya watu kuwa na hisia tofauti ila mwenyewe anaanika siri ya kufutuka ghafla. Mwanamuziki wa Bendi ya Extra Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza’ Akipiga stori na Ijumaa, Banza alisema awali alikuwa hajali suala...

 

9 years ago

Michuzi

Ma-Alhaj King Majuto na Sunday Manara Computer wakutana Makka

Mwigizaji mchekeshaji nyota King Majuto akiwa na mchezaji wa zamani wa Taifa Stars na Yanga Sunday Manara 'Computer' wakiwa mjini Makka wakati wa Hijja. Hawa ni miongoni mwa Watanzania  walionusurika katika maafa ya msongamano wa watu Mina juzi uliochukua maisha ya mahujaji zaidi ya 700 kutoka kila pembe ya dunia.

 

9 years ago

Bongo5

Music: Davido — Dodo

Davido ameachia wimbo mpya uitwao ‘Dodo’, ambao utapatikana kwenye album yake mpya ‘Baddest’ ambayo mpaka sasa haijatoka licha ya kuahidi kuiachia mwezi huu (Septemba). Dodo ni wimbo uliotayarishwa na Kiddominant. Isikilize hapa ‘Dodo’ Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Davido — Dodo

Msanii Davido kutoka Nigeria ambaye pia ni Boss wa Record lebel ya HKN Music ametoa video mpya ya wimbo wake “Dodo”. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Mwananchi

Waliokufa Makka

Waende pema peponi, walioaga dunia, Umewaita Manani, ibada wakiwania, Basi iwe fueni, kwao tunatarajia, Waliokufa Makka, waende pema peponi.  

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani