Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makaidi ajitolea kunusuru ‘ndoa’ ya Zitto, Chadema

Mwenyekiti mweza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk Emmanuel Makaidi amejitolea kusuluhisha mgogoro baina ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe na chama chake cha Chadema.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Lowassa avunja ‘ndoa’ ya Zitto, Dk. Slaa

EDWARD NGOYAYE LOWASSANA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM

MKAKATI wa chama cha ACT Wazalendo kumtumia aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa kutumia jukwaa lake ‘kumchafua’ mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Ukawa, umegonga mwamba.

Kukwama kwa mkakati huo kunatokana na kuwapo msigano wa mawazo miongoni mwa viongozi wa ACT ambao waliona kumtumia Dk. Slaa kuiponda Chadema na hata Ukawa wataifanya jamii kuamini kwamba wao (ACT)...

 

11 years ago

GPL

ZITTO AICHAKAZA CHADEMA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe akiwa ndani ya Mahakama Kuu akisubiri hukumu ya kesi yake leo. Mwanasheria wa Chadema, Peter Kibatara (kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa chama hicho, Tundu Lissu ndani ya Mahakama Kuu tayari kusikiliza hukumu ya Zitto.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zitto aibuka CHADEMA

WAKATI mashabiki na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakihoji uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho kumvua nafasi zote za uongozi Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe,...

 

11 years ago

GPL

MASKINI ZITTO KABWE CHADEMA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakitashughulikia rufaa iliyokatwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kwa Baraza Kuu kupinga uamuzi wa Kamati Kuu (CC) wa kumvua nyadhifa zake katika chama, hadi hapo itakapopitia utetezi wake na kuamua hatima ya uanachama wake katika chama hicho. Pia kimethibitisha kupokea utetezi dhidi ya mashitaka 11 yanayohusisha usaliti...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA wamlilia Mama Zitto

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeeleza kupokea kwa majonzi makubwa msiba wa mjumbe wao wa Kamati Kuu ya Taifa, Shida Salum ambaye aliaga dunia jana jijini Dar es Salaam....

 

11 years ago

GPL

ZITTO AWABWAGA CHADEMA MAHAKAMANI

Zitto Kabwe. Nimeomba mahakama kuzuia kamati kuu ya chama changu kunijadili mpaka rufaa yangu isikilizwe na Baraza Kuu la chama. Sijaomba kuzuia kamati kuu kuendelea na kikao chake. Nimeomba kamati isinijadili maana nina rufaa kwenda Baraza Kuu kwa jambo hilo hilo ambalo kamati kuu inataka kuliamulia. Wakili wa chama Tundu lissu aliweka mapingamizi akisema mahakama haina mamlaka kujadili masuala ya vyama na wanachama wao. Jaji...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Zitto kung’oka CHADEMA

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), inadaiwa yupo katika hatua za mwisho kujiengua ndani ya chama hicho alichojijengea sifa kubwa Kwa mujibu wa watu walio karibu na Zitto, wamelidokeza...

 

11 years ago

Habarileo

Zitto aibwaga Chadema mahakamani

Kabwe ZittoMAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeamuru Kamati Kuu ya Chadema kutojadili suala la uanachama wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto katika mkutano utakaofanyika leo Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mtanzania

Chadema wamtimua rasmi Zitto

zitto kutimuliwaNa Waandishi Wetu, Dar es Salaam
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemvua rasmi uanachama Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.
Hatua hiyo ya Chadema imekuja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutupa kesi iliyofunguliwa na Zitto dhidi ya Bodi ya Udhamini ya chama hicho na Katibu wake, Dk. Willibrod Slaa.
Kesi hiyo ilitupwa jana na Jaji Richard Mziray baada ya kupitia hoja za mapingamizi matano yaliyowasilishwa na mawakili wa Chadema.
Baada ya kutolewa kwa uamuzi huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani