Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makalla awa RC Kilimanjaro, Rugimbana apelekwa Lindi

RAIS Jakaya Kikwete amefanya uteuzi mbalimbali, ikiwemo wakuu wawili wapya wa mikoa. Hatua hiyo inaziba nafasi zilizoachwa wazi na viongozi wa nafasi hizo, wanaowania ubunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Ziara ya naibu waziri wa Maji Amos Makalla jimbo la Mchinga-Lindi

Naibu waziri wa Maji Amos Makalla ameendelea na ziara katika mkoa wa Lindi na leo amefanya ziara katika jimbo la Mchinga kwa kutembelea vijiji vya Kitohavi na LIHIMILO ambavyo vina shida ya maji kwa muda mrefu huku serikali ikiwa ameviweka vijiji hivyo katika mpango wa Matokeo ya haraka Akiongea katika mikutano ya hadhara ameagiza uongozi wa halmashauri ya Lindi kuchimba visima virefu ndani ya wiki mbili kwa kuwa wizara yake ilishatuma fedha za kuchimbia visima hivyo na haoni sabababu za...

 

10 years ago

Michuzi

Makalla alipokuwa ziarani mjini Moshi mkoa wa Kilimanjaro

Naibu waziri wa Maji Mhe.Amos makalla akizindua mradi wa maji karanga mjini MoshiNaibu waziri wa maji Amos makalla akiwahurubia wafanyakazi wa mamlaka maji Moshi Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akikabidhi tuzo ya ubora wa utunzaji mazingira kwa mkurugenzi wa mamlaka maji moshi Injinia Cryspin Lumeleja Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla Naibu wazir maji akiongea na wajumbe wa bodi ya mamlaka maji moshiNaibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akikagua chanzo cha maji cha Mto Karanga...

 

10 years ago

Habarileo

Mmarekani awa Balozi wa Mlima Kilimanjaro

TANZANIA imempa hadhi ya Ubalozi wa Mlima Kilimanjaro, raia wa Marekani, Macon Dunnagan, baada ya kutambua mchango wake katika kuutangaza mlima huo nchini mwake.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kasi ya RC Makalla yautikisa Mkoa wa Kilimanjaro, afanya ziara za kushtukiza

Na Mwandishi Wetu, Moshi

MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amefanya ziara ya kushtukiza katika masoko manne ya Manispaa ya Moshi pamoja na dampo za kukusanyia uchafu, ili kujionea hali ya usafi na utendaji kazi katika mkoa huo. Katika ziara hiyo, RC Makalla alitumia muda huo kuwaagiza watendaji wake, hususan katika mchakato mzima wa kuifanya Moshi iwe kwenye usafi.

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla mwenye miwani, akikagua soko lililopo kwenye Manispaa ya Moshi, mkoani humo,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Amos Makalla apiga marufuku likizo za Ma DC, Wakurugenzi na Wakuu wa Idara mkoani Kilimanjaro

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro

KATIKA hali inayoonyesha ni joto kali la kuwatumikia Watanzania, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makalla, amepiga marufuku likizo za Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi na Wakuu wa Idara kwenye mkoa wake ili kutekeleza kwa vitendo hotuba na maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuli.

RC Makalla aliyasema hayo jana katika kikao cha kazi na wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, wakuu wa idara wa halmashauri na Kamati ya Ulinzi...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO, AMOSI MAKALLA APITA OFISI ZA MICHUZI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amosi Makalla alipopita kusalimia katika Ofisi za MICHUZI MEDIA GROUP jijini Dar es Salaam leo, mara baada ya kutoka kuapishwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete.Watatu kutoka kushoto ni  Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amosi Makalla  akiwa katika picha ya pamoja na Timu ya MICHUZI MEDIA GROUP jijini Dar es Salaam leo.

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO,AMOS MAKALLA ASHIRIKI KIFUNGUA KINYWA NA WAFANYAKAZI PAMOJA NA WATEJA WA BENKI YA NMB TAWI LA NELSON MANDELA-MOSHI

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amos  Makalla leo asubuhi ameshiriki kifungua kinywa na wafanyakazi na wateja waNMB Tawi la Moshi na kuipongeza benki ya NMB kwa kuwa benki 10 bora Afrika mashariki, benki inayoongoza kwa kuwa na matawi mengi nchini, benki inayoongoza kwa kutengeneza faida na kusaidia jamii, benki ya riba na gharama nafuu nchini na benki yenye  huduma bora kwa wateja nchini.


Pamoja na mafanikio hayo ameishauri benki hiyo kuendelea kuwa wabunifu wa bidhaa na kuendeleza huduma bora...

 

11 years ago

GPL

BLUE LEAF YA LINDI YASHINDA POOL, KUSHIRIKI KITAIFA KILIMANJARO

Bingwa wa mchezo wa Pool Afrika upande wa mchezaji mmoja-mmoja wanaume (singles), Patrick Nyangusi (kushoto) na Salum Ally wakishindana wakati wa fainali za mchezo huo uliochezwa katika klabu ya Jambo Lee, Kawe,  jijini Dar es Salam mwishoni mwa wiki.  Partick Nyangusi alishinda mchezo huo. Mchezaji wa Klabu Pool ya Jaba, Kinondoni Dar es Salaam, Mayaula Mhagama, akicheza wakati wa fainali za mchezo huo ngazi… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Rugimbana: Msikae na pesa nyingi nyumbani

Mkuu wa Wilaya Kinondoni, Jordan Rugimbana amewahimiza wafanyabiashara mbalimbali na wananchi kwa jumla kuwa na hulka ya kuweka fedha benki kwa usalama wa fedha zao na wao wenyewe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani