Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makalla wataka wanasheria na watalaam wa ardhi kutoka wizara ya ardhi kufika haraka Mvomero

Naibu Waziri wa Maji na Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mh. Amos Makalla amewataka wanasheria na watalaam wa ardhi kutoka wizara ya ardhi kufika haraka Mvomero kukutana na wananchi wa Vijiji vyote ambao ni wadau wa bonde la Mgongolwa ili kutoa Elimu, kutoa tafsiri na kuwapa mipaka mipya kufuatia hukumu ya kesi ya muda mrefu iliyotolewa wiki iliyopita.
Makalla akiyasema hayo wakati wa Mkutano wake na wananchi hao leo kwenye kijiji cha Mkindo Bungoma ndani ya Jimbo hilo la Mvomero.Naibu Waziri wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Ardhi yawatangazia umma kuwasilisha malalamiko ya mgogoro ya Ardhi mkoa wa Dar

IMG-20141114-WA0009

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi.

WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI INAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA MHE. WAZIRI WA ARDHI ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI WENYE MIGOGORO INAYOHUSU ARDHI KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM TAREHE 22 – 23, SEPTEMBA, 2015 KUANZIA SAA 4.00 ASUBUHI MAKAO MAKUU YA WIZARA. KATIKA TUKIO HILO, MNATAKIWA KUZINGATIA YAFUATAYO;-

1.TAREHE 22 SEPTEMBA 2015 ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI KWA MANISPAA YA KINONDONI;

2.TAREHE...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU, WIZARA YA ARDHI AFANYA JITIHADA KUBORESHA MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA YA WILAYA

Katibu Mkuu wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Alphayo J.Kidata, amefanya ziara katika Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya na kufanya maboresho, pamoja na kuahidi maboresho zaidi. Mhe. Kidata amefanya ziara hiyo ya ghafla katika Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya za Kinondoni na Ilala ili kubaini uendeshaji wa kazi katika Mabaraza hayo. Akisomewa ripoti fupi na mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Kinondoni, Bw. Yose Mlyambina pamoja na mambo mengine...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ujumbe wizara ya ardhi wafurahia utendaji wa Nchi ya Singapore namna ya utawala bora katika ardhi

Ujumbe wa Waziri wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi umemaliza ziara yake nchini Singapore huku ukiwa umejifunza mambo muhimu ikiwemo kuwepo utawala wa sheria katika usimamizi wa ardhi, kutokuwepo rushwa, nidhamu na uaminifu mkubwa wa watumishi wa umma, jamii inayopenda kujitegemea na usalama wa hali ya juu. Yafuatayo ni matukio ya ziara hiyo kwenye Mamlaka ya Uendelezaji wa Mji wa Singapore(URA) kama yalivyoratibiwa na Muungano Saguya.

NHC1

Ujumbe wa NHC...

 

9 years ago

Michuzi

Naibu Waziri, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Angelline Mabula astukizia baraza la ardhi kinondoni

 Naibu Waziri, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Angelline Mabula (Mb), akiangalia mafaili ya kesi mbalimbali katika Baraza la Ardhi na Nyumba la Kinondoni, jijini Dar es salaam, alipofanya ziara ya kushtukiza katika Baraza hilo, kulia kwake ni karani wa baraza hilo, Bahati Rashidi.

 Naibu Waziri, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Angelline Mabula (Mb), akitazama utunzwaji wa mafaili katika masijala alipofanya ziara ya kushtukiza katika Baraza la Ardhi na Nyumba la...

 

11 years ago

Mwananchi

Tawla kutumia wanasheria 400 kutatua migogoro ya ardhi vijijini

>Kila kukicha kumekuwa na kesi za migogoro ya ardhi, mirathi na hata kesi za wazazi kuozesha watoto wao yaani mimba za utotoni na ndoa za utotoni na hii ni changamoto kubwa inayoikabili nchi kwa sasa.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI NA MAENDELEO YA MAKAZI AFANYA ZIARA WILAYANI MVOMERO

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Anna Tibaijuka akipata maelezo ya jiwe la alama ya mpaka (beacon) unaotenganisha vijiji vya Dihombo na Mkindo wilayani Mvomero kabla ya kukabidhi hatimiliki za kimila jana. Hatua ya kutolewa hati ni baada ya kazi ya kupanga matumizi ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji na hatimaye kumaliza mgogoro uliokuwepo awali. Anayetoa maelezo ni Mpima Ardhi kutoka Wizara ya Ardhi Bw. Musa Stephen. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Migogoro ya ardhi itatuliwe haraka’

Serikali imeombwa kutatua haraka mgogoro baina ya kampuni inayojihusisha na uchimbaji dhahabu ya Bismark Hotel na wakazi wa Majimoto wilayani hapa, uliodumu kwa miaka takriban 23 kabla ya kuleta madhara makubwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Tukomeshe haraka migogoro ya ardhi

Nimekuwa nikiandika kwa kuweka takwimu juu ya migogoro ya ardhi nchini. Niliwahi kusema kuwa kesi zilizopo mahakamani kwa sasa, zaidi ya asilimia 50 zinahusu migogoro ya ardhi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mgogoro huu wa ardhi utafutiwe suluhu haraka

KWA takriban mwezi mmoja sasa, baadhi ya vyombo vya habari likiwemo gazeti hili, yamekuwa yakiripoti kuwapo kwa mgogoro wa kiwanja katika eneo la Kokoto – Mbagala. Mgogoro huo unaihusisha Kampuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani