Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgogoro huu wa ardhi utafutiwe suluhu haraka

KWA takriban mwezi mmoja sasa, baadhi ya vyombo vya habari likiwemo gazeti hili, yamekuwa yakiripoti kuwapo kwa mgogoro wa kiwanja katika eneo la Kokoto – Mbagala. Mgogoro huo unaihusisha Kampuni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA ARDHI MHE. WILLIAM LUKUVI AWASILI JANA, AAHIDI SULUHU YA MGOGORO WA MUDA MREFU WA SHAMBA LA SKAUNGU

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiwasili katika uwanja wa ndege wa Mjini Sumbawanga jana tarehe 25/03/2013 kwa ajili ya ziara ya siku mbili Mkoani Rukwa moja ikiwa kufuatilia migogoro sugu ya ardhi ukiwemo wa shamba la Skaungu ambapo ameonana na wananchi na viongozi wa vijiji kumi vinavyolizunguka shamba hilo ambalo lina mgogoro wa muda mrefu kati ya Mmiliki Ephata Ministry na wananchi hao. Lengo la pili la ziara yake ni kuweka jiwe la msingi katika nyumba...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI MHE. WILLIAM LUKUVI AWASILI MKOANI RUKWA LEO, AAHIDI SULUHU YA MGOGORO WA MUDA MREFU WA SHAMBA LA SKAUNGU


 Ujumbe mwingine uliokuwa kwenye mabango hayo.Ujumbe mwingine ukinyesha kuwa toka Kijiji hicho kianzishwe mwaka 2008 na kupewa hati wananchi hao wamekuwa hawana haki na sehemu ya ardhi yao ambayo ipo ndani ya shamba la Muwekezaji huyo. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Skaungu muda mfupi kabla ya kumkaribisha Waziri wa Ardhi Mhe. William Lukuvi kuzungumzia lengo la ziara yake katika Kijiji hicho, alisema ni muda sasa kumaliza mgogoro huo.  

 

10 years ago

Mwananchi

Mgomo huu utafutiwe suluhisho la kudumu

Mgomo wa madereva uliodumu kwa siku mbili, jana ulisitishwa baada ya kikao baina ya viongozi wao na viongozi wa Serikali kuhusu namna ya kushughulikia madai yao.

 

10 years ago

Michuzi

Makalla wataka wanasheria na watalaam wa ardhi kutoka wizara ya ardhi kufika haraka Mvomero

Naibu Waziri wa Maji na Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mh. Amos Makalla amewataka wanasheria na watalaam wa ardhi kutoka wizara ya ardhi kufika haraka Mvomero kukutana na wananchi wa Vijiji vyote ambao ni wadau wa bonde la Mgongolwa ili kutoa Elimu, kutoa tafsiri na kuwapa mipaka mipya kufuatia hukumu ya kesi ya muda mrefu iliyotolewa wiki iliyopita.
Makalla akiyasema hayo wakati wa Mkutano wake na wananchi hao leo kwenye kijiji cha Mkindo Bungoma ndani ya Jimbo hilo la Mvomero.Naibu Waziri wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Ardhi yawatangazia umma kuwasilisha malalamiko ya mgogoro ya Ardhi mkoa wa Dar

IMG-20141114-WA0009

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi.

WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI INAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA MHE. WAZIRI WA ARDHI ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI WENYE MIGOGORO INAYOHUSU ARDHI KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM TAREHE 22 – 23, SEPTEMBA, 2015 KUANZIA SAA 4.00 ASUBUHI MAKAO MAKUU YA WIZARA. KATIKA TUKIO HILO, MNATAKIWA KUZINGATIA YAFUATAYO;-

1.TAREHE 22 SEPTEMBA 2015 ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI KWA MANISPAA YA KINONDONI;

2.TAREHE...

 

10 years ago

BBCSwahili

Suluhu yatakiwa haraka kuhusu wahamiaji

Waziri mkuu wa Italia Matteo Renzi ametoa wito wa kufanyika kikao cha dharura cha Umoja wa Ulaya kujadili swala la wahamiaji

 

11 years ago

Tanzania Daima

Suala la wamachinga lipatiwe suluhu haraka

MARA kadhaa tumepata kuandika tahariri kueleza kwamba tatizo la machinga na ukosefu wa ajira yasipopatiwa ufumbuzi ni bomu linalosubiri kulipuka na hakuna atakayepona. Hii ni kutokana na ukweli kwamba, serikali...

 

11 years ago

BBCSwahili

Suluhu mgogoro Hong Kong mashakani

Wanafunzi Hong Kong wanalaumiwa kwa kuvunjika kwa mazungumzo kati yao na serikali

 

11 years ago

Mwananchi

Tukomeshe haraka migogoro ya ardhi

Nimekuwa nikiandika kwa kuweka takwimu juu ya migogoro ya ardhi nchini. Niliwahi kusema kuwa kesi zilizopo mahakamani kwa sasa, zaidi ya asilimia 50 zinahusu migogoro ya ardhi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani