Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makamba: Watanzania mchagueni Magufuli

KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba amewaasa Watanzania kutofanya makosa kwa kumchagua Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa kuwa Rais wa Tanzania na badala yake wamchague Dk John Magufuli ambaye ni kiongozi makini anayejali shida za wananchi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Pinda: Magufuli anafaa kuwa rais, mchagueni

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (CC-CCM) ambaye pia ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho (NEC), Mizengo Pinda amewaomba wananchi wamchague John Magufuli kwa kuwa ndiye anayefaa.

 

9 years ago

Michuzi

MCHAGUENI DKT MAGUFULI NDIYE ATAKAYEWEZA KULETA MABADILIKO YA KWELI-KINANA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman akiwasili kwenye uwanja wa shule ya msingi Tunduma
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman akihutubia wakazi wa mji wa Tunduma kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi Tunduma ambapo aliwaelezea wananchi hao kuwa mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli ana uwezo mkubwa wa kuibadilisha Tanzania,kubadili mfumo wa chama na atakuwa na Baraza la Mawaziri dogo, atapunguza matumizi yasiyo ya lazima ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MATUMAINI YA WATANZANIA NDANI YA CCM BAADA YA MEMBE NA MAKAMBA KUSEMEKANA KUKATWA

John Pombe MagufuliAsha-Rose MigiroBalozi Amina Salum Ali 

 

9 years ago

GPL

JK, MAKAMBA WAMPIGA TAFU DK MAGUFULI KAMPENI MOGOGORO‏

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro leo.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akimtambulisha kwa wananchi Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni mjini Morogoro…
...

 

9 years ago

Habarileo

Kikwete: Wazanzibari mchagueni Dk Shein

RAIS Jakaya Kikwete amewataka Wazanzibari kumchagua Mgombea wa CCM nafasi ya Urais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein aliyeonesha uwezo mkubwa wa kuwaunganisha Wazanzibari kwa kuleta amani na utulivu.

 

10 years ago

Vijimambo

Lowassa aongoza.Wafuatia Slaa, Magufuli, Membe, Makamba, Lipumba, Mbowe, Zitto, Ni matokeo ya utafiti mikoa 18.

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa.
Nyota ya Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, imeendelea kung’aa baada ya Taasisi ya Samunge Social Sciences Research Center (SSSRC), kufanya utafiti na kubaini kuwa kiongozi huyo ni chaguo la kwanza kwa wananchi.

Utafiti huo uliofanywa miaka miwili kuanzia 2013 hadi 2015, unaonyesha Lowassa anaongoza kwa asilimia 20.7 dhidi ya wagombea 31.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani