Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKAMU WA RAIS SUDANI NA MKEWE WAPATWA NA CORONA


Riek MacharHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionRiek Machar na mkewe waambukizwa virusi vya coronaMakamu Rais wa kwanza wa Sudani Kusini Riek Machar na mke wake Angelina Teny wamethibitishwa kuambukizwa virusi vya corona.Dkt. Machar alisema kwamba yeye na mke wake ambaye pia ni waziri wa ulinzi, wamepata maambukizi baada ya kutangamana na jopo la ngazi ya juu la kukabiliana na virusi hivyo nchini humo.Machar amesema kwamba hana dalili zozote na hali yake ya afya iko sawa lakini atajiweka karantini...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ZAMANI WA SUDANI YA KUSINI REIK MACHAR NCHINI AFRIKA YA KUSINI

AOMBWA AENDELEE KUSIMAMIA MAZUNGUMZO YA AMANI KATI YA VIKUNDI VINAVYOSIGANA VYA NCHI HIYO

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: 80 wapatwa na maambukizi ya corona Kenya, akiwemo mtoto mchanga

Jumla ya watu waliopata virusi vya coroni nchini Kenya imefikia 1,109, Wizara ya Afya imetangaza Alhamisi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Msaidizi wa Makamu wa rais Mike Pence akutwa na Corona

Msaidizi mwingine mkubwa wa Mike Pence amekutwa na virusi vya corona siku moja baada ya mfanyakazi mmoja wa White house kukutwa na virusi hivyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Makamu wa rais Riek Machar anajihisi ni kama mfungwa baada ya mkataba, asema mkewe

Mke wa makamu wa rais wa Sudan Kusini aliyeapishwa hivi karibuni Riek Machar anasema mume wake anahisi "ni kama mfungwa".

 

5 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAPATA ELIMU YA CORONA

 Bw. Yusuph Seif Afisa Afya kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamiii, Jinsia, Wazee na Watoto akitoa elimu juu ya ugonjwa wa Corona kwa watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais hii leo Mtumba Dodoma. Katika picha ni baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Mhandisi Joseph Malongo.
Sehemu ya watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakimsikiliza Bw. Yusuph Seif Afisa Afya kutoka Wizara Afya (hayupo pichani) wakati wa utoaji wa elimu juu ya ugonjwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete apokea ujumbe toka kwa Rais wa Sudani ya Kusini Mhe Salvar Kiir jijini Dar

ss1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ujumbe maalumu toka kwa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudani Kusini  ulioletwa na mjumbe malumu Jenerali James Kok Ruea Jumamosi September 14, Ikulu jijini Dar es salaam. Mjumbe huyo aliongozana pia na Mkuu wa Kituo cha Martti Ahtisari (Martti Ahtisari Centre) kwa nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara, Bw. Itonde Kakoma.(Picha na IKULU).

ss2

unnamed (6)

 

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE TOKA KWA RAIS WA SUDANI YA KUSINI MHE SALVAR KIIR JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha mjumbe malumu wa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudani Kusini,Jenerali James Kok Ruea alieleta Ujumbe maalum toka kwa Rais huyo wa Sudan Kusini Jumamosi September 14, Ikulu jijini Dar es salaam. Mjumbe huyo aliongozana pia na Mkuu wa Kituo cha Martti Ahtisari (Martti Ahtisari Centre) kwa nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara, Bw. Itonde Kakoma.Rais Jakaya Mrisho Kikwete amekisoma ujumbe maalumu toka kwa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudani Kusini ...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS, DKT. BILAL AMKARIBISHA MAKAMU WA RAIS WA CHINA NA UJUMBE WAKE IKULU DAR LEO, WASAINI MIKATABA

 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara (kulia) akisainiana mkataba na Naibu Waziri wa Wizara ya Biashara ya Wau wa China, Li Jinzao, wa Makabidhiano ya gari la matangazo la Shirika la Utangazaji la TBC, yaliyofanyika mapema mwaka huu. Shughuli hiyo ya kutiliana saini imefanyika leo Juni 23, 2014, Ikulu jijini Dar es Salaam, ikishuhudiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao Naibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani