Makomando wawasaka wapiganaji Ukraine
Vikosi vya jeshi nchini Ukrain vimekuwa vikielekea mji wa Slavyask ambayo ni ngome ya makundi ya wapiganaji wanaounga mkono Urusi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili27 May
Wapiganaji 30 wauawa nchini Ukraine
Takriban wapiganaji 30 wanaounga mkono Urusi,wameuawa katika mapigano yaliyozuka katika uwanja wa ndege mjini Donetsk,Mashariki mwa Ukraine.
10 years ago
BBCSwahili29 Aug
HRW:Wapiganaji wanawatesa raia Ukraine
Shirika la kutetea haki za binadamu Human Rights Watch linaripoti visa vya ukiukwaji wa haki za binadamu katika maeneo yanayotawaliwa na waasi wa Ukraine
11 years ago
BBCSwahili17 Apr
Nigeria:Wazazi wawasaka watoto msituni
Wazazi wa takriban watoto 100 waliotekwa nyara na watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa kundi la Boko Haram wameingia msituni kuwatafuta watoto wao.
11 years ago
BBCSwahili19 Apr
Wapiga mbizi wawasaka manusura wa ferry
Wapiga mbizi wa Korea kusini wafanya majaribio kadhaa ya kuingia ndani ya ferry ya abiria iliozama siku ya jumatano.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JaaIjingYwLqxlMV59nvYM5p0plnFGNEayQapg5KxLgbP7l3y4dBoPOcLtjaZPO4kl-UPl8tD-jVFYyx2EFSjlQc7p1vfZXD/1.jpg?width=650)
MAKOMANDO NDANI YA GLOBAL TV
Mtangazaji wa Global TV Online Mourad Alpha (katikati), akiwafanyia mahojiano Makomando muda mfupi baada ya kuwasili ndani ya mjengo huo.
Mwandishi wa magazeti ya Global Publishers, Musa Mateja (katikati), akiwa katika pozi na Makomando.…
11 years ago
Dewji Blog11 Jun
10 years ago
Habarileo27 Sep
Anayedaiwa kuingiza makomando abadilishiwa mashtaka
WATU wanne akiwemo mfanyabiashara Ally Ally (25) aliyekuwa anakabiliwa na mashitaka ya kusafirisha na kuhifadhi makomando wa Nepal nchini, wamepandishwa kizimbani wakikabiliwa na mashitaka ya usafirishaji wa binadamu uliokithiri.
10 years ago
CloudsFM18 Nov
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania