Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nigeria:Wazazi wawasaka watoto msituni

Wazazi wa takriban watoto 100 waliotekwa nyara na watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa kundi la Boko Haram wameingia msituni kuwatafuta watoto wao.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Wazazi wakubali kumzika mtoto aliyeuawa msituni

WAZAZI wakazi wa Kijiji cha Kamsisi wilayani Mlele katika Mkoa wa Katavi wamekubali kuuzika mwili wa mtoto wao Moshi Salehe (17) anayedaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi za moto na askari wa wanyamapori wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa).

 

11 years ago

Dewji Blog

Wazazi wenye watoto ambao wanatatizo la Usonji watakiwa kuwapenda watoto hao

Mama-Salma-Kikwete

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete.

Na Anna Nkinda – Maelezo

 Wazazi wenye watoto ambao wanatatizo la usonji (Autism) nchini wametakiwa kuwapenda, kuwatunza  na kuwapa mahitaji yao kama watoto wengine kwani ni makusudi na mapenzi ya Mwenyezi Mungu kuwapa watoto hao.

Mwito huo umetolewa leo na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete wakati akiongea na walimu, walezi na wazazi wa watoto hao katika Shule ya Msingi...

 

5 years ago

Michuzi

WAZAZI WENYE WATOTO MAHITAJI MAALUM WAASWA KUWAPELEKA SHULE WATOTO WAO BADALA YA KUKAA NAO NYUMBANI

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tandahimba Hadija Mwinuka ametoa wito kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum wawapeleke shule badala ya kukaa nao nyumbani na kuwafungia

Ameyasema hayo wakati akitoa vifaa mbalimbali vilivyotolewa na wanawake viongozi wa Elimu Wilaya ya Tandahimba kwenye shule maalum mjimpya

Mwinuka ameeleza kuwa shule hiyo ni bweni hivyo wanapokea watoto wakike na wakiume  wananchi waache kuwafungia ndani badala yake wawapeleke wakapate elimu mbalimbali...

 

9 years ago

Mwananchi

Wazazi wakiamua watoto watafanikiwa

Shule ya kwanza ya mtoto ni mzazi au mlezi. Ushauri, maagizo na falsafa ya mzazi, huamua mwelekeo wa mtoto kimasomo na kimaisha.

 

10 years ago

Mwananchi

Wazazi wanachangia watoto kufeli

Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita Tanzania imekuwa na rekodi nzuri ya kupanua wigo wa elimu kuanzia idadi ya wanafunzi, walimu na miundombinu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ni majonzi wazazi wakiandamana Nigeria

Wazazi wa wasichana 230, waliotekwa nyara Kaskazini Mashariki mwa Nigeria, wamefanya maandamano kuiomba serikali ya Nigeria kuongeza juhudi za kuwatafuta watoto wao

 

11 years ago

BBCSwahili

Watoto wenye wazazi 3 kuzaliwa karibuni

Madaktari nchini uingereza wanasema Inawezekana kuwazalisha watoto wenye wazazi watatu katika kipindi cha miaka 2 ijayo.

 

10 years ago

Habarileo

Wazazi wahimizwa kufuatilia watoto wao

WAZAZI wametakiwa kufuatilia nyendo za watoto ili kudhibiti kuporomoka kwa maadili kunakosababishwa na utandawazi.

 

10 years ago

Habarileo

Wazazi waaswa kuwa karibu na watoto

WAZAZI na walezi nchini, wametakiwa kuwa karibu na watoto wao ili kuwapa malezi bora na kuwaepusha na makundi mabaya ya uhalifu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani