Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto wenye wazazi 3 kuzaliwa karibuni

Madaktari nchini uingereza wanasema Inawezekana kuwazalisha watoto wenye wazazi watatu katika kipindi cha miaka 2 ijayo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Wazazi wenye watoto ambao wanatatizo la Usonji watakiwa kuwapenda watoto hao

Mama-Salma-Kikwete

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete.

Na Anna Nkinda – Maelezo

 Wazazi wenye watoto ambao wanatatizo la usonji (Autism) nchini wametakiwa kuwapenda, kuwatunza  na kuwapa mahitaji yao kama watoto wengine kwani ni makusudi na mapenzi ya Mwenyezi Mungu kuwapa watoto hao.

Mwito huo umetolewa leo na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete wakati akiongea na walimu, walezi na wazazi wa watoto hao katika Shule ya Msingi...

 

5 years ago

Michuzi

WAZAZI WENYE WATOTO MAHITAJI MAALUM WAASWA KUWAPELEKA SHULE WATOTO WAO BADALA YA KUKAA NAO NYUMBANI

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tandahimba Hadija Mwinuka ametoa wito kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum wawapeleke shule badala ya kukaa nao nyumbani na kuwafungia

Ameyasema hayo wakati akitoa vifaa mbalimbali vilivyotolewa na wanawake viongozi wa Elimu Wilaya ya Tandahimba kwenye shule maalum mjimpya

Mwinuka ameeleza kuwa shule hiyo ni bweni hivyo wanapokea watoto wakike na wakiume  wananchi waache kuwafungia ndani badala yake wawapeleke wakapate elimu mbalimbali...

 

9 years ago

StarTV

Wazazi watakiwa kutowaficha watoto wenye ulemavu

Wazazi wa watoto wenye ulemavu katika mkoa wa Tanga wameendelea kulaani tabia ya wazazi kuwaficha watoto wao majumbani badala ya kuwapeleka shuleni kupata elimu na maarifa yatakayowasaidia kwenye maisha yao.

Wazazi hao walikuwa wakizungumza katika hafla iliyowakutanisha walemavu kwenye kituo cha watoto wenye ulemavu cha YDCP kama sehemu ya kujumuika nao kusherehekea sikukuu ya Krismasi.

Wazazi hao wamesema ipo sababu ya msingi ya kuondokana na tabia ya kuwaficha watoto wenye ulemavu...

 

9 years ago

Michuzi

Kutoka Ocean Road hadi Muhimbili kuagwa sabuni za kuogea za kufulia, miswaki na dawa za meno kwa watoto wenye matatizo ya kansa waliolazwa hapo na wazazi .

wanafunzi waliosoma zamani shule za St Joseph's Convent School na Forodhani Secondary School (St Josephs and Forodhani ALUMNI) washerehekea tarehe12 December kwa kuwapelekea wagonjwa 360 wa kansa hospitali za Ocean Road na Muhimbili sabuni za kufulia na kuogea, miswaki na dawa za kusafishia meno. Mkuu wa msafara Collins Rutenge, amesema tarehe 9 Disemba walikuwa wakifanya usafi kila mmoja alipo.  Kama kukindi waliamua kupeleka vifaa vya usafi kwa wagonjwa wa kansa waliolazwa hospitali za...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa wazazi watatu kuzaliwa Uingereza

Wabunge nchini Uingereza wameunga mkono sheria inayoruhusu uzaaji wa wa watoto wenye vinasaba, kutoka kwa wanawake wawili na mwaume mmoja,

 

9 years ago

MillardAyo

Ni kweli wanawake wenye maumbile makubwa huzaa watoto wenye akili..?(+Audio)

Kumekuwepo na fununu zikienea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu Wanawake wenye maumbile makubwa au Hips  wana nafasi kubwa ya kuzaa watoto wenye uwezo wa kiakili. Hapa nakukutanisha na Dr. Isaac Maro akiuelezea ukweli wa mambo. Bonyeza Play hapa chini kuipata hii yote. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line […]

The post Ni kweli wanawake wenye maumbile makubwa huzaa watoto wenye akili..?(+Audio) appeared first on...

 

10 years ago

Habarileo

Walimu, wazazi waghushi vyeti vya kuzaliwa

WAKALA wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umebaini udanganyifu uliofanywa na walimu wa shule za msingi na wazazi kughushi taarifa na kuongeza bei wakati wa kusajili na kuwapatia wanafunzi vyeti vya kuzaliwa.

 

10 years ago

Vijimambo

NURLAITH AFANYAWA SHEREHE YA SIKU YA KUZALIWA NA WAZAZI WAKE

Mtoto Nurlaith mchezaji tarajio la Liverpool akifanyiwa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa siku ya Jumapili June 7, 2014 Bladensburg water front park na kuhudhuria ndugu, jamaa na marafiki.Mtoto Nurlaith mchezaji tarajio la Liverpool akiimbiwa wimbo wa siku ya kuzaliwa na watoto wenzake.Mtoto Nurlaith mchezaji tarajio la Liverpool akilishwa keki na mama yake.Mtoto Nurlaith mchezaji tarajio la Liverpool akiwa amebebwa na baba yake akipata picha ya pamojapicha ya pamojaMtoto Nurlaith mchezaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani