Makongoro asisitiza Muungano utadumu
LICHA ya `chokochoko’ dhidi ya Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar, mmoja wa watoto wa Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Makongoro Nyerere amewataka Watanzania kutokuwa na chembe ya hofu ya kuvunjika kwa Muungano huo, akisema utaendelea kudumu kwa kuwa ni wa wananchi na si wanasiasa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo19 Apr
Mwinyi asisitiza kudumisha muungano
RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amewataka Watanzania kuhakikisha wanadumisha na kuulinda Muungano ili kizazi kijacho kiweze kuyaona mafanikio ya Muungano huo na kuacha ukiwa imara.
10 years ago
Habarileo08 Apr
Balozi Idd asisitiza Muungano kutovunjika
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambao umedumu kwa muda wa miaka 51, kamwe hautovunjika kwa sababu wananchi wa pande mbili wamejenga mahusiano makubwa ya damu kwa miaka mingi.
9 years ago
Habarileo18 Aug
Mbowe asisitiza Muungano wa serikali tatu
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema upinzani ukiingia madarakani utahakikisha unakuwepo Muungano wa serikali tatu unaotokana na maridhiano ya pande mbili za Jamhuri ya Muungano.
9 years ago
Raia Mwema20 Nov
Bila mipango makini, ‘uendawazimu’ utadumu
NYOTA wa zamani wa Timu ya Taifa ya Uholanzi, Hendrick Johannes Cruijiff, maarufu kama Johan Cruy
Mwandishi Wetu
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Tanganyika kuwamo ndani ya Katiba ya Muungano bila Zanzibar ni kuua Muungano
10 years ago
TheCitizen03 Jun
Makongoro ex-president’s son who may become one
10 years ago
Mtanzania02 Jun
Makongoro Nyerere achafua hewa
MBIO za kusaka urais kwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimezidi kushika kasi baada ya mtoto wa tano wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, Charles Makongoro Nyerere kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho.
Wakati Makongoro akichukua uamuzi huo kwa mara ya kwanza katika historia ya familia ya Mwalimu Nyerere, mkoani Mbeya Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Kazi Maalumu, Profesa Mark Mwandosya naye ameingia kwenye mbio hizo.
MAKONGORO
Akitangaza nia yake katika eneo la Mwitongo kijijini...
10 years ago
Mwananchi17 Jul
Makongoro, Muhongo wageukia ubunge
10 years ago
Mwananchi10 Dec
Kwaya ya Makongoro yatia fora