Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwinyi asisitiza kudumisha muungano

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amewataka Watanzania kuhakikisha wanadumisha na kuulinda Muungano ili kizazi kijacho kiweze kuyaona mafanikio ya Muungano huo na kuacha ukiwa imara.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Waaswa kudumisha moyo wa muungano

 Samia Suluhu HassanWATUMISHI waliostaafu katika Ofisi ya Makamu wa Rais wametakiwa kuendelea na moyo wa kuudumisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na uhifadhi wa mazingira.

 

11 years ago

Michuzi

Watanzania waaswa kudumisha na kuuenzi muungano.


















Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Job Ndugai .
(Na Jovina Bujulu, MAELEZO DODOMA).   Muungano wa Tanzania bara na Zanzibar ni jambo la kujivunia kwa watanzania wote na katika bara la Afrika.
Hayo yamesemwa leo na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Job Ndugai wakati wa mahojiano katika kipindi cha Jambo kinachorushwa na kituo cha Televisheni cha TBC ONE.
Mh. Ndugai ambaye pia ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema kuwa jambo la Muhimu...

 

11 years ago

Habarileo

Mchungaji ahimiza viongozi kudumisha Muungano

VIONGOZI nchini wamehimizwa kutimiza wajibu wao wa kutendea taifa haki kwa kudumisha Muungano, amani na mshikamano na kulipatia katiba bora, inayotokana na maoni ya wananchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wahimizwa kudumisha, kuuenzi Muungano

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mtwara, Alhaji Mohamed Sinani, amewataka Watanzania kuendelea kudumisha na kuuenzi Muungano kwa masilahi ya taifa ikiwa ni njia pekee ya kuwaenzi waasisi...

 

11 years ago

Michuzi

WATANZANIA WASOMAO BEIJING CHINA WACHAGUANA, WAWEKA MIKAKATI YA KUDUMISHA MUUNGANO


 Mwenyekiti mpya Suleiman Serera akishikana mkono na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Bw. Daninga Philip. Wengine katika picha ni uongozi mzima wa Watanzania wasomao Beijing.   Mwenyekiti aliyemaliza muda wake wa Umoja wa wanafunzi wanaosoma Beijing, China (TzBeijing ) Bw.Philip Daninga akiongea na wanachama wa umoja huo muda mfupi kabla ya zoezi la kupiga kura lililofanyika mwishoni mwa wiki hii kwenye Ukumbi wa Ubalozi wa Tanzania, China. Wengine katika picha kutoka kushoto ni Bw....

 

11 years ago

Habarileo

Makongoro asisitiza Muungano utadumu

Makongoro Nyerere LICHA ya `chokochoko’ dhidi ya Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar, mmoja wa watoto wa Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Makongoro Nyerere amewataka Watanzania kutokuwa na chembe ya hofu ya kuvunjika kwa Muungano huo, akisema utaendelea kudumu kwa kuwa ni wa wananchi na si wanasiasa.

 

10 years ago

Habarileo

Balozi Idd asisitiza Muungano kutovunjika

Balozi Seif Ali IddiMAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambao umedumu kwa muda wa miaka 51, kamwe hautovunjika kwa sababu wananchi wa pande mbili wamejenga mahusiano makubwa ya damu kwa miaka mingi.

 

9 years ago

Habarileo

Mbowe asisitiza Muungano wa serikali tatu

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema upinzani ukiingia madarakani utahakikisha unakuwepo Muungano wa serikali tatu unaotokana na maridhiano ya pande mbili za Jamhuri ya Muungano.

 

11 years ago

Michuzi

Muungano bado uko imara - Mzee Mwinyi

 Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Alhaj Ali Hassan Mwinyi akipokea maelezo kutoka kwa Afisa wa Bunge Bwana Patson Sobha, wakati alipowasili kwenye Banda la Bunge la maonesho ya maadhisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania yanayoendelea katika Viwanja Vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Maonesho hayo yatakayofikia kilele siku ya Jumamosi Aprili 19, ikiwa ni maandalizi ya siku kuu ya Muungano ambayo huherekewa Aprili 26 kila mwaka. Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi akikabidhiwa  zawadi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani