Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Idd asisitiza Muungano kutovunjika

Balozi Seif Ali IddiMAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambao umedumu kwa muda wa miaka 51, kamwe hautovunjika kwa sababu wananchi wa pande mbili wamejenga mahusiano makubwa ya damu kwa miaka mingi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Makongoro asisitiza Muungano utadumu

Makongoro Nyerere LICHA ya `chokochoko’ dhidi ya Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar, mmoja wa watoto wa Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Makongoro Nyerere amewataka Watanzania kutokuwa na chembe ya hofu ya kuvunjika kwa Muungano huo, akisema utaendelea kudumu kwa kuwa ni wa wananchi na si wanasiasa.

 

11 years ago

Habarileo

Mwinyi asisitiza kudumisha muungano

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amewataka Watanzania kuhakikisha wanadumisha na kuulinda Muungano ili kizazi kijacho kiweze kuyaona mafanikio ya Muungano huo na kuacha ukiwa imara.

 

9 years ago

Habarileo

Mbowe asisitiza Muungano wa serikali tatu

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema upinzani ukiingia madarakani utahakikisha unakuwepo Muungano wa serikali tatu unaotokana na maridhiano ya pande mbili za Jamhuri ya Muungano.

 

10 years ago

Habarileo

Balozi Seif asisitiza mitaala bora ya ustadi wa kazi

Balozi Seif Ali IddiMAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd amesema nchi itaweza kukabiliana na changamoto ya ajira kwa kuhakikisha vyuo vyote nchini vinakuwa na mitaala inayoelekeza kufundisha umahiri na ustadi wa kazi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maalim Seif, Balozi Idd wachimbana

MAKAMU wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd na Makamu wa Kwanza, Maalim Seif Sharif Hamad, wameingia katika vita ya maneno kuhusu rasimu ya katiba, masuala ya Muungano...

 

11 years ago

Mwananchi

Balozi Idd kufungua Sabasaba leo

>Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Balozi Seif Ali Idd atafungua Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) leo kwenye Viwanja vya Mwalimu Julius  Nyerere, jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

BALOZI SEIF IDD AZINDUA MAONYESHO YA SABASABA DAR

MAKAMU wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi amezindua rasmi maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa jijini Dar es Salaam kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Dar mchana huu. Maonyesho ya mwaka huu yaliyoanza Juni 28, 2014 yanashirikisha waonyeshaji bidhaa zaidi ya 1,200 kati yake Wizara, Idara na wakala za serikali zaidi ya 60 na makampuni zaidi ya 400 ya kimataifa. Mataifa 31 yanashiriki maonyesho ya mwaka huu...

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim awataka Dk Shein, Balozi Idd wadhibiti vurugu

Mgombea urais wa CUF, Zanzibar chini ya mwamvuli wa Ukawa, Maalim Seif amesema amewataka Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein na Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ally Idd kuhakikisha wanadhibiti vurugu zinazoweza kutokea katika uchaguzi mkuu ujao la sivyo watapelekwa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC).

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDD AKUTANA NA WANA CCM WA NUNGWI

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi Balozi Seif Ali Iddi amewathibitishia Wana CCM, Wananchi na Jamii kwamba ataendelea kufuatilia matatizo na changa moto zinazowakabili wananchi popote pale akiwa kama mtendaji Mkuu wa Serikali.
Alisema Wanasiasa wasifikirie kwamba anapokwenda majimboni hasa katika maeneo yanayoongozwa na Upinzani wakadhani ya kuwa anakwenda kuvuruga siasa za vyama vyengine vya upinzani.
Balozi Seif alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani