Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muungano bado uko imara - Mzee Mwinyi

 Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Alhaj Ali Hassan Mwinyi akipokea maelezo kutoka kwa Afisa wa Bunge Bwana Patson Sobha, wakati alipowasili kwenye Banda la Bunge la maonesho ya maadhisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania yanayoendelea katika Viwanja Vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Maonesho hayo yatakayofikia kilele siku ya Jumamosi Aprili 19, ikiwa ni maandalizi ya siku kuu ya Muungano ambayo huherekewa Aprili 26 kila mwaka. Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi akikabidhiwa  zawadi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA KINANA YADHIHIRISHA CCM BADO IPO IMARA MIKOA YA KUSINI


ZIARA YA KINANA MIKOA YA LINDI NA MTWARA YAINGIZA  WANACHAMA ZAIDI YA 40,000 CCM MKUTANO WA HADHARA MTWARA MJINIWakazi wa Mtwara mjini wakishangilia wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM ukiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Mtwara mjini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa kazi ya CCM ni kuisimamia Serikali kutimiza wajibu wake kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Mwinyi asisitiza kudumisha muungano

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amewataka Watanzania kuhakikisha wanadumisha na kuulinda Muungano ili kizazi kijacho kiweze kuyaona mafanikio ya Muungano huo na kuacha ukiwa imara.

 

11 years ago

Habarileo

Mzee Mwinyi aguswa uhaba wa madaktari

RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi ameelezea kuguswa na tatizo la uhaba mkubwa wa wataalamu katika fani ya udaktari hasa vijijini, hali aliyosema inachangia kuwapo kwa changamoto kubwa katika utoaji wa huduma katika sekta ya afya.

 

10 years ago

Michuzi

Miaka 90 ya Mzee Ali Hassan Mwinyi

Leo, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi anatimiza miaka 90. Tulipata fursa ya pekee kuketi naye akatueleza mambo machache kuhusu maisha yakeUNGANA NASI

 

10 years ago

Mwananchi

‘Happy Birthday’ Mzee Mwinyi, afikisha miaka 90

>Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi maarufu kwa jina la ‘Mzee Ruksa’ leo anatimiza miaka 90. Bado ana nguvu, mchangamfu, mcheshi na anapopata fursa, anawafundisha Watanzania matumizi ya Kiswahili Sanifu na kutoa ushauri juu ya umuhimu wa elimu na kuishi kwa amani na ushirikiano bila ubaguzi kwa misingi ya dini na ukabila.

 

10 years ago

Mwananchi

Mzee Mwinyi ni mwalimu ‘darasa maalumu la Kiswahili’

Lugha ya Kiswahili ni tunu iliyositirika kwetu, haina budi kuenziwa. Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, ni mfano mzuri na wa kuigwa katika kukienzi Kiswahili.

 

11 years ago

Habarileo

Mzee Mwinyi ahimiza Watanzania kujiunga PSPF

RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi ametoa mwito kwa Watanzania ambao hawapo katika sekta rasmi, kujiunga na Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS), ulioanzishwa na Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) kwa ajili ya manufaa yao ya baadaye.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani