Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzee Mwinyi ahimiza Watanzania kujiunga PSPF

RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi ametoa mwito kwa Watanzania ambao hawapo katika sekta rasmi, kujiunga na Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS), ulioanzishwa na Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) kwa ajili ya manufaa yao ya baadaye.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MZEE ALI HASSAN MWINYI ATIMIZA MIAKA 95, WATANZANIA WAMUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU AZIDI KUMPA AFYA NJEMA

Na Said Mwishehe, Michuzi TV

LEO Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi anasherehekea siku yake ya luzaliwa kwa kufikisha umri wa miaka 95 akiwa mwenye afya njema.

Watanzania wa kada mbalimbali wamempongeza mzee Mwinyi kwa kufikisha umri huo huku wakiendelea kumuombea kwa Mwenyezi Mungu azidi kumpa afya njema na maisha marefu.Mzee Mwinyi ambaye ameliongoza Taifa la Tanzania katika Serikali ya Awamu ya Pili ameendelea  kuwa Rais mwenye kupendwa na kukumbukwa na hasa...

 

10 years ago

Michuzi

FLAVIANA MATATA AONGOZA MAMIA YA WANAMITINDO WA BONGO KUJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF

Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, ambaye ni Mwanamitindo na Mbunifu Mavazi maarufu nchini Tanzania,  kwa sasa akifanyia kazi zake nchini Marekani, akizungumza wakati wa semina ya siku moja, iliyowaleta pamoja, wanamitindo "kinda" wa Tanzania, kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam Jumapili Mei 17, 2015. Semina hiyo ililenga kuwafunza na kubadilishana uzoefu juu ya tasnia hiyo inayokuwa kwa kasi. Semina hiyo ya siku moja, ilitayarishwa kwa pamoja na Mfuko wa Pensheni...

 

11 years ago

Habarileo

Mzee Mwinyi aguswa uhaba wa madaktari

RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi ameelezea kuguswa na tatizo la uhaba mkubwa wa wataalamu katika fani ya udaktari hasa vijijini, hali aliyosema inachangia kuwapo kwa changamoto kubwa katika utoaji wa huduma katika sekta ya afya.

 

10 years ago

Michuzi

Miaka 90 ya Mzee Ali Hassan Mwinyi

Leo, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi anatimiza miaka 90. Tulipata fursa ya pekee kuketi naye akatueleza mambo machache kuhusu maisha yakeUNGANA NASI

 

10 years ago

Mwananchi

‘Happy Birthday’ Mzee Mwinyi, afikisha miaka 90

>Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi maarufu kwa jina la ‘Mzee Ruksa’ leo anatimiza miaka 90. Bado ana nguvu, mchangamfu, mcheshi na anapopata fursa, anawafundisha Watanzania matumizi ya Kiswahili Sanifu na kutoa ushauri juu ya umuhimu wa elimu na kuishi kwa amani na ushirikiano bila ubaguzi kwa misingi ya dini na ukabila.

 

11 years ago

Michuzi

Muungano bado uko imara - Mzee Mwinyi

 Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Alhaj Ali Hassan Mwinyi akipokea maelezo kutoka kwa Afisa wa Bunge Bwana Patson Sobha, wakati alipowasili kwenye Banda la Bunge la maonesho ya maadhisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania yanayoendelea katika Viwanja Vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Maonesho hayo yatakayofikia kilele siku ya Jumamosi Aprili 19, ikiwa ni maandalizi ya siku kuu ya Muungano ambayo huherekewa Aprili 26 kila mwaka. Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi akikabidhiwa  zawadi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani