Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKOSA YA KISHERIA KATIKA KUNADISHA NYUMBA YA MKOPAJI.

Image result for MNADA WA NYUMBA
                Na Bashir YakubSheria  ya  ardhi  Sura  ya  113  imetoa  maelezo  kwa  upana  kuhusu  miamala    kati  ya  mtoa  mkopo , mkopaji na  dhamana  inayohusika katika mkopo  huo. Mara  kadhaa   watu binafsi,  taasisi  za  haki  za  binadamu, asasi  za kiraia, na  makundi  mengine  wamekuwa  wakitoa maelezo  mbalimbali   yanayotokana  na  sheria hii hasa  wakilenga  kupunguza vitendo  vya  ukiukaji  wa  taratibu  ambao  hufanywa  na  baadhi  yua  taasisi  za  mikopo ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: NI MAKOSA KISHERIA TAASISI YA FEDHA KUUZA NYUMBA YA DHAMANA KWA BEI YA KUTUPA

Na  Bashir  Yakub.Kumekuwa  na  tabia  ya  taasisi  za  fedha  kuuza  nyumba   au  viwanja vya  watu  walivyoweka  rehani   na kushindwa  kulipa  mkopo   kwa  bei  ya  kutupa. Kwakuwa  taasisi  za  fedha  huamini  kwamba  wana  deni na  mtu  na ameshindwa  kulipa  hela  zao  na  pengine  kwakuwa  tayari  wamekamilisha  taratibu  zote  za  kisheria  za  kuuza  basi  huamua  kuuza  mali  ya  mtu  kwa  bei   ambayo    ni  ndogo   kiasi  cha  kustaajabisha.  
 Ni  kawaida  kukuta  nyumba ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Haki na jukumu la mkopaji kisheria

Imekuwa ni kawaida sana kwa watu wengi kujikuta wameingia kwenye mkopo bila kujua majukumu au haki zao kama wakopaji na matokeo yake wanafilisiwa au wanashindwa kabisa kurudisha mkopo.

 

10 years ago

Mwananchi

Je, mkopaji ana haki zipi hasa kisheria?

Haki ni stahiki za kisheria ambazo mtu anapaswa azipate au apewe. Wajibu ni majukumu ambayo mtu anapaswa kuyatimiza katika kufanikisha au kukamilisha jambo fulani.

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: NINI UFANYE KISHERIA UNAPOHISI MWENZAKO KATIKA NDOA ANATAKA KUUZA NYUMBA/KIWANJA BILA RIDHAA YAKO

NA  BASHIR  YAKUB-
Upo wakati kwenye  ndoa ambapo mmoja  wanandoa  anaweza akawa anataka  kuuza au kubadili jina la nyumba/kiwanja  bila ridhaa ya mwenzake ilihali  nyumba  hiyo  ni ya  familia. Lakini  pia  nje ya  hilo kuna  mazingira  ambayo  mtu anaweza  kuwa  si  mwanandoa lakini ana maslahi  katika  nyumba au  kiwanja cha mtu fulani  na anataka  kuzuia  nyumba/ kiwanja  hicho  kisibadilishwe  jina au kisiuzwe.  Kisheria jambo hilo linaruhusiwa  na huitwa zuio( Caveat).
Hili sio zuio la...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: SHERIA INAMRUHUSU MKOPAJI KUJIUZIA MWENYEWE KIWANJA/NYUMBA YA DHAMANA.


Na  Bashir  YakubWiki  kadhaa  zilizopita   nilipigiwa  simu  na  mama  mmoja  akitaka  nimpe  ushauri  wa  sheria  kuhusu  jambo  fulani. Nilifanya  miadi  naye   na tukafanya  mazungumzo. Kubwa  kuhusu  shida  yake  ilikuwa  ni  tatizo  la  mkopo ambapo  benki  moja imeuza  nyumba  yake  maeneo  ya  Kinondoni  Dar  es  saaam.  Wasiwasi  wake  ulikuwa  ukiukwaji  wa  taratibu  za  mauzo  ya  nyumba  yake  na  hivyo  akitaka  kujua  afanye  nini. Maswali  yake  yalikuwa  mengi  na ...

 

10 years ago

Michuzi

JITAMBUE KISHERIA UNAPOFUKUZWA KAZI KWA MAKOSA YA KINIDHAMU.

Na  Bashir  Yakub


Kisheria  yapo  mambo  mengi  ambayo  huweza  kubatilisha  mkataba  wa  ajira  kati  ya  mwajiri  na  mwajiriwa. Mkataba  wa  ajira  sawa  na  mikataba  mingine  yote huzaliwa,  huishi  na  hufa. Huzaliwa  pale  tu  unaposainiwa ,  huishi  pale  unapoanza  kutekelezwa  na  hufa   pale  yanapojitokeza  baadhi  ya  mambo  ambayo  yameainishwa  na  sheria  kama  mambo  yanayoua mkataba  wa  ajira. Aidha zipo  taratibu  maalum  za  kumaliza/kuua  mkataba  wa  ajira  na  hii ...

 

10 years ago

Mwananchi

Haki za mpangaji na majukumu ya mwenye nyumba kisheria

Ardhi ni kitu muhimu sana katika maisha ya kila siku ya binadamu. Hata hivyo, ukweli ni kwamba siyo kila Mtanzania anamiliki ardhi.

 

10 years ago

Michuzi

UPENDELEO WA KISHERIA KWA NYUMBA YA MAKAZI KABLA YA KUNADISHWA.

KUSOMA  ZAIDI  links  goes  to  sheriayakub.blogspot.comNa  Bashir  Yakub.

KISHERIA  haizuiwi  kuweka  rehani  nyumba  ya  makazi  kwa  ajili  ya  kupata  mkopo  kutoka  taasisi  yoyote  ya  fedha. Jambo la msingi  sana  ni  kuwa  watoa  mkopo   wajiridhishe   na  umiliki  wa  nyumba  hiyo  hasa  kwa  kuangalia ikiwa  ni  mali  ya  familia  au  hapana ili wachukue  hadhari  za  kisheria.


Nyumba  ya  makazi  ni  ipi.  Nyumba  ya  makazi  ni  ile  nyumba  ambayo  inatumiwa  na  binadamu ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: UNATAKA NYUMBA/KIWANJA, HAKIKISHA HAYA KISHERIA USITAPELIWE

Na  Bashir   Yakub
Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na migogoro ya mashamba, viwanja na nyumba  hasa maeneo ya mijini.  Kwa utafiti wa kawaida utagundua kwa haraka baadhi ya sababu ambazo husababisha hali hii.Uaminifu, tamaa, kutelekeza maeneo kwa muda mrefu, utendaji mbovu wa  baadhi ya watumishi katika mamlaka za ardhi, uzembe na kutojali ni baadhi ya sababu  ambazo huchangia kuwapo  na kukua kwa tatizo hili. 
Baada ya kuwapo  tatizo hili wajibu mkubwa umebaki kwa watu wenyewe kuwa makini na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani