Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makundi matano ya Bongo Flava yaliyoacha historia

Zamani Bongo Flava ilitawaliwa na makundi mengi mno pengine kutokana na wasanii hao kutokuwa na uwezo wa kifedha wa kwenda studio mmoja mmoja basi njia nzuri ilikuwa ni kujikusanya kwenye makundi huku wakichanga hela mpaka zilipofika senti za kwenda kuwaona akina Master Jay,Mika Mwamba ama P- Funk Majani. P-Funk Majani anafahamika kama Godfather wa Bongo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

BONGO FLAVA COMING OF BONGO POLITICAL AGE

By Godwin Semunyu.
When Joseph Mbilinyi alias Mr. Two, or Too Proud and now Sugu, was sworn in as Member of Parliament for Mbeya urban in 2010, he sent buzzing vibes to the Tanzania music industry. It was surreal to imagine that a Bongo Flava artist barred its reputation at the time, making it to its most potent legislative organ. Sugu, known for his strong lyrical messages, is regarded as an epitome of Bongo Fleva entrance into politics by being brave enough to challenge the status quo of...

 

9 years ago

Michuzi

MAKUNDI MATANO YATINGA FAINALI YA SHINDANO LA DANCE100%

 Kundi la Wazawa crew  la Tandale jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dansi  wakati wa  Nusu fainali ya shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi Vijana wanaounda Kundi la WDW la  jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dansi wakati wa...

 

9 years ago

GPL

MAKUNDI MATANO YATINGA FAINALI YA DANCE100%‏

MAJOKELI: Baadhi ya Vijana wanaounda kundi la Majoker Crew la Msasani Wilaya ya Kinondoni, wakikongo nyoyo za mashabiki wakati wa nusufainali ya shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi. MAKOLOKOCHO; Wasanii wa...

 

10 years ago

GPL

MAKUNDI MATANO YAINGIA FAINALI YA DANCE 100%

Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la”Wakali sisi” Buguruni jijini Dar es Salaam,wakionesha umahiri wao wa kudansi wakati wa mchuano wa nusu fainali ya shindano hilo lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lililofanyika  kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay,Makundi 5 kati ya 10 yameingia fainali itakayofanyika mwezi ujao.
Meneja… ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKUNDI MATANO YAINGIA FAINALI YA DANCE 100%CHINI YA VODACOM

Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la”Wakali sisi” Buguruni jijini Dar es Salaam,wakionesha umahiri wao wa kudansi wakati wa mchuano wa nusu fainali ya shindano hilo lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lililofanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay,Makundi 5 kati ya 10 yameingia fainali itakayofanyika mwezi ujao.Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,akikausha maji ya mvua iliyokuwa ikinyesha kwa wingi wakati shindano la nusu fainali...

 

10 years ago

TheCitizen

COVER: Where did ‘Bongo Flava’ tag come from?

>There is no question that  Bongo Flava has reached  new heights and the debate  on authenticity still rages on.Bongo Flava has today claimed the music stage which was once a preserve  of  Congolese music .

 

11 years ago

TheCitizen

We need a Bongo-flava metamorphosis fast!

In the 1980s Tanzanian youth started a musical experiment which became a mainstream cultural movement that took over urban Tanzania and eventually the entire country during the pinnacle of the revolution in the late 1990s.

 

9 years ago

TheCitizen

Diamond sets the bar for Bongo Flava

International stardom is something that every artiste craves for but despite all the struggles it remains elusive to many artistes.

 

10 years ago

BBCSwahili

Bongo flava muziki wa Tanzania unavyokua

Aina mpya ya muziki unaojulikana nchini Tanzania kama BONGO FLAVA umejipatia umaarufu barani Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani