Malalamiko katika soko la Kariakoo - VOA MItaani
![](http://3.bp.blogspot.com/-6-RiGyaHHwA/U7L_YMl9CZI/AAAAAAAFt_g/NC7hVKL4LcM/s72-c/unnamed+(8).jpg)
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (aliyevaa tai) akiongozwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Soko la Ndani, Edwin Rutageruka (watatu kulia) kuelekea kuangalia usalama katika sehemu mbalimbali ya Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere (Sabasaba). Nyuma ya Waziri Chikawe upande wa kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu na Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova (wapili kulia). Waziri Chikawe na Maafisa wa Jeshi la Polisi wametembelea viwanja...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo13 Nov
10 years ago
Vijimambo12 Jul
11 years ago
Habarileo25 Jun
Soko la Kariakoo lazindua tovuti
SOKO la Kariakoo limezindua tovuti yake maalumu kwa ajili ya kutoa taarifa mbalimbali za soko hilo, ikiwa ni pamoja na bei za mazao za kila siku kwa wadau wake. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Meneja wa Soko hilo, Anderson Shaka alisema tovuti hiyo ni http:www.kariakoo.or.tz/sw/ .
9 years ago
Mwananchi10 Dec
Majaliwa ageukia Soko la Kariakoo
11 years ago
Mwananchi08 May
Walalamikia usafi wa soko Kariakoo
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Akn4LDwu9XwRYXx4jL7gZiAFwC7Of0Gc184HKrNe8PRW5B99001Dt3doSkHkFZI0-wuApZgCbd4EEZSY*zyqg6VUeLqu**1q/1975025_631080796971070_1650113863_n.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-mK5dKEPhBU0/U0eHmLNrzII/AAAAAAAFZ5w/AVZuFe7528g/s72-c/karibu-mjengwa.jpg)
9 years ago
Habarileo18 Aug
Soko la Kariakoo halina umeme kwa siku 8
SOKO la Kariakoo jijini Dar es Salaam pamoja na maeneo ya biashara yaliyopo jirani yamekosa umeme kwa siku nane mfululizo hadi kufikia jana.
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
‘Kutoka Soko la Kariakoo’ kurushwa Mjengwa Blog
KIPINDI cha ‘Kutoka Soko la Kariakoo’ kimezindulia na mtandao wa kijamii wa Mjengwa Blog ambacho kitakuwa kikirushwa na Redio Kwanza Jamii. Akizungumza na Tanzania Daima Dar es Salaam jana Mkurugenzi...