MALALAMIKO KUHUSU UKANDAMIZAJI WA DEMOKRASIA KATIKA CHAGUZI MBALIMBALI ZINAZOENDELEA
![](http://3.bp.blogspot.com/-3yGDfQiHOdU/Vnieg1-8isI/AAAAAAAAXgo/nws90ujHwgo/s72-c/8-chadema.jpg)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Masuala 21. Sintofahamu katika chaguzi za kuwapata wenyeviti/makamu wenyeviti wa halmashauri na Mameya/manaibu meya katika maeneo ambayo UKAWA umeshinda.2. Ukandamizaji wa demokrasia jimboni kwa Waziri Mkuu.Kumekuwa na kila dalili za uminywaji na ukandamizaji mkubwa wa demokrasia katika maeneo yote ambako vyama vinavyounda UKAWA vimeshinda idadi kubwa ya
CHADEMA Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-iQ6E7KpUEew/VQwwur3Vt0I/AAAAAAAHLp0/3QgR5XuY8kY/s72-c/zitto.jpg)
9 years ago
MichuziMABALOZI MBALIMBALI WAZUNGUMZA KUHUSU MAJUKUMU YAO KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO
10 years ago
GPLVIONGOZI MBALIMBALI WAJITOKEZA KATIKA MKUTANO WA MASHAURIANO KUHUSU AMANI, UMOJA NA UTULIVU WA NCHI YETU
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku akizungungumzwa katika mkutano wa siku mbili wa mashauriano kuhusu amani, umoja na utulivu wa nchi yetu ulioanza leo ambao utamalizika kesho. Mkutano huo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), ulifanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam leo asubuhi. Â Brigedea Jenerali mstaafu, Francis Mbena akihutubia kwenye...
5 years ago
MichuziWANACHAMA WA SHIRIKA LA FORUMCC KUTOKA MBALIMBALI NCHINI WAPIGWA MSASA KUHUSU UTUMIAJI WA NISHATI MBADALA KATIKA KILIMO
Moja ya watalaam wa masuala ya kilimo biashara akielezea namna bora ya upandaji mgomba wakati wanachama wa FORUMCC walipokuwa kwenye ziara ya kimafunzo kutembelea katika moja ya shamba lililoko Chuo Kikuu cha Kilimo(SUA).
Baadhi ya wanachama wa FORUMCC ambao wako kwenye kwenye ziara ya kimafunzo mkoani Morogoro kujifunza namna ambavyo nishati jadidifu inavyoweza kutumika katika shughuli za kilimo kama njia mojawapo ya kukabilina na athari za mabadiliko ya tabianchi.Ziara hiyo ya kimafunzo...
10 years ago
Vijimambo18 Oct
MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA INAYOPENDEKEZWA
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/en/7/78/Chadema_bendera.jpg)
UTANGULIZI
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana katika kikao chake cha kawaida na kujadili, pamoja na mambo mengine, mchakato wa Katiba Mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbali mbali wakati wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na marekebisho yake na, baadaye, Sheria ya Kura ya Maoni.
Aidha, Kamati Kuu imepata taarifa ya mchakato ulivyokuwa katika hatua ya kuundwa kwa Tume...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/makamba1.jpg)
MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO
Mjumbe wa kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba. Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamesema watakwenda mahakamani kupinga matokeo ya ubunge majimbo ya; Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe. Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam, Mjumbe wa kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba amesema kuwa CCM haijaridhishwa na utaratibu wa ukusanyaji na ujumlishaji wa matokeo katika baadhi ya majimbo. Taarifa yote soma hapa chini… ...
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Katika chaguzi utashi wa wananchi uheshimiwe
Juzi tulishuhudia tukio lisilo la kawaida hapa nchini, ambalo bila shaka limeacha mjadala mkubwa utakaoendelea kwa muda mrefu ujao. Jijini Dar es Salaam.
9 years ago
Mwananchi14 Oct
Athari za Nyerere katika chaguzi za Tanzania
Huwezi kusikiliza lolote kuhusu kampeni za uchaguzi Tanzania bila kulisikia jina la Mwalimu Julius Nyerere likitajwa kwa kunukuliwa alichokisema. Kila upande, uwe ni upinzani au Chama Cha Mapinduzi (CCM) mgombea akitaka kutia uzito maneno yake, atamnukuu Mwalimu Nyerere.
10 years ago
Mwananchi15 Feb
Tufunguke tusiburuzwe na vyama katika chaguzi
Tumeufikia mwaka wa uchaguzi. Ni mwaka wa furaha kwa wengine kwani wameishi kwa matumaini ya kupata nafasi za uongozi kwa kipindi wanachojua wao na hivyo mwaka huu ni mwaka wao wa kujaribu bahati yao.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania