Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malaria huua mtoto kila baada ya sekunde 60 barani Afrika

wakati ikiwa imebaki miaka mitatu kabla ya kumalizika kwa kipindi cha kwanza cha Malengo ya Milenia (MDG) kumalizika, ugonjwa wa malaria hauonekani kukubali kudhibitiwa pamoja na jitihada mbalimbali zinazofanywa kuupunguza kama si kuuondoa kabisa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la ndege la Etihad Airways litaongeza safari zake barani Afrika kwa kuzindua safari mpya ya kila siku ya mji wa Dar es Salaam

 

etihad

Shirika la ndege la Etihad Airways (http://www.etihad.com) ni  shirika la ndege la kitaifa la Umoja wa Falme za Kiarabu, ambalo linatarajia kuongeza safari zake barani Afrika kwa kuzindua safari mpya ya kila siku Mjini Dar es Salaam, mji mkubwa zaidi Tanzania.

Safari hizi za ndege kati ya Abu Dhabi na Dar es Salaam, zitaanza tarehe 1 mwezi Desemba 2015, zikiendeshwa kwa kutumia ndege ya Airbus A320 yenye viti 16 vya kitengo cha Biashara na 120 vya kitengo cha Uchumi.

Dar es Salaam itakuwa...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YAONGOZA MJADALA WA WAZI (OPEN SESSION) WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA KUHUSU WATOTO NA VITA BARANI AFRIKA

Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia na Mwakilishi wa kudumu katika Umoja wa Afrika, akiongoza mjadala huo ambao ulihudhuriwa pia na Bibi. Leila Zerrougui ( wa tatu kushoto), Mwakilishi Maalamu ( Special Representative) wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya watoto na Vita, na Balozi Smail Chergui (wa nne kushoto), Kamishina wa Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika. Aliopo nyuma ya Mhe. Balozi Naimi Aziz, ni Bi. Suma Mwakyusa, Afisa Ubalozi Mwandamizi. Bw....

 

11 years ago

Mwananchi

Si kila homa, maumivu ya kichwa ni Malaria

Watanzania wengi wamejenga tabia ya kunywa dawa za Malaria bila kupima afya zao na huku wakikosa huduma sahihi hali ambayo inaelezwa kuchangia kuenea kwa vimelea vya ugonjwa huo na kusababisha usugu wa dawa.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Kila saa moja watu 10 wanakufa kwa Malaria

Na Albano Midelo UGONJWA wa malaria umeuwa watu 652 katika mkoa wa Ruvuma mwaka 2011 kati ya wagonjwa zaidi ya 43,000 waliougua ugonjwa huo katika kipindi hicho. Mratibu wa malaria mkoani Ruvuma, Kibua Kakolwa anabainisha kuwa kati ya wagonjwa waliopoteza maisha watoto chini ya umri wa miaka mitano walikuwa 334 na wenye umri wa zaidi ya miaka mitano walikuwa 318. Kwa mujibu wa mratibu huyo wa malaria katika mwaka huo pekee mkoa ulilaza wagonjwa wenye umri chini ya miaka mitano wapatao...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YAONGOZA MJADALA WA WAZI (OPEN SESSION) WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA KUHUSU WATOTO NA VITA BARANI AFRIKA (CHILDREN AND ARMED CONFLICTS IN AFRICA) JIJINI ADDIS ABABA

 Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia na Mwakilishi wa kudumu  katika Umoja wa Afrika (katikati), akiongoza mjadala huo ambao ulihudhuriwa pia na Bibi. Leila Zerrougui ( wa tatu kushoto), Mwakilishi Maalamu ( Special Representative) wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya watoto na Vita, na Balozi Smail Chergui (wa nne kushoto), Kamishina wa Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika. Aliopo nyuma ya Mhe. Balozi Naimi Aziz, ni Bi. Suma Mwakyusa, Afisa Ubalozi...

 

9 years ago

Mwananchi

Matajiri 50 wanaoongoza Barani Afrika

Kudorora kwa uchumi katika baadhi ya nchi za Afrika, kumesababisha kupungua kwa idadi ya mabilionea wapya walioingia kwenye orodha ya 50 bora mwaka huu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Janga la Ukimwi barani Afrika

Kati ya watu milioni 35 ambao wanaishi na ukimwi 67% wanatoka kusini mwa Sahara barani Afrika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Afrika Magharibi wajadili usalama barani

Suala la usalama na amani barani Afrika ndio mada kuu itakayojadiliwa katika kikao cha viongozi wa nchi za Afrika Magharibi

 

10 years ago

BBCSwahili

Habari muhimu barani Afrika mwaka huu

Hizi ndizo habari muhimu zilizotokea barani Afrika,je unaweza kuzikumbuka vipi?Angalia kanda hii ya video kwa sekunde 60.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani