Malawi, Tanzania zazungumza lugha mbili tofauti
Kile kilichoonekana kuanza kama mzaha kati ya Tanzania na Malawi kuhusu umiliki wa Ziwa Nyasa, sasa kimeanza kuchukua sura mpya kwa kila nchi kuendelea kutekeleza kitu inachokiamini kuwa ni sahihi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSERIKALI ZA TANZANIA NA MALAWI ZASEMA HAZINA TOFAUTI JUU YA MPAKA WA ZIWA NYASA
Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Mh. Patrick Tsere Akizungumza na waandishi wa Habari kutoka Mbeya walipotembelea Ofisi za ubalozi Nchini Malawi. Baadhi ya Waandishi wakimsikiliza Balozi.…
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Matatizo ya wanafunzi si lugha mbili, ni kutotaka kusoma
Makala haya yanaangazia mjadala kuhusu lugha inayofaa kutumika Tanzania katika kuendeleza sekta zote ikiwamo elimu, biashara, utaalamu na utamaduni.
11 years ago
Mwananchi25 Jan
M’bilia Bell; abeba historia mbili tofauti
>Miongoni mwa wanamuziki wa Bara la Afrika waliowahi kuandika historia mbili tofauti za uhusiano ni mwanamuziki M’bilia Bell.
9 years ago
Mwananchi17 Aug
Ronaldo, Kleberson — mapacha Man United na safari mbili tofauti kimaisha
Ni miaka 12 tangu Cristiano Ronaldo na Kleberson wasajiliwe pamoja na kutambulishwa kwenye klabu ya Manchester United. Kwa sasa, wawili hao ambao waliitwa mapacha wamepitia safari tofauti kimaisha
11 years ago
BBCSwahili03 Jan
Timu mbili Ligi ya Malawi zafungiwa
Vilabu viwili vya soka nchini Malawi vya Mighty Wanderers na Silver Strikers vimepigwa faini kufuatia ghasia za mashabiki wao
11 years ago
Malawi Today24 Mar
Deadlock in Malawi and Tanzania on Lake Malawi border mediation talks
Coastweek
Malawi Today
Mediation talks between Malawi and neighbouring Tanzania on the border dispute over Lake Malawi ended in a deadlock last week. Head of the mediating team, former Mozambican President Joaquim Chissano is quoted by allafrica.com as having publicly ...
Tanzania: After Two Days, No Agreement Over Lake NiassaAllAfrica.com
Dar firm on border claimDaily News
Tanzania, Malawi fail to reach agreement on border...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-aFPJwxwIGQk/U4nbdJC3EmI/AAAAAAAFmuI/w4uL-DwXyYI/s72-c/unnamed+(94).jpg)
WAWILI WAPOTEZA MAISHA NA WENGINE TISA MAJERUHI KATIKA AJALI MBILI TOFAUTI MOJA IKIHUSISHA GARI LILILOBEBA WANAHABARI WA MBONI SHOW MKOANI DODOMA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-aFPJwxwIGQk/U4nbdJC3EmI/AAAAAAAFmuI/w4uL-DwXyYI/s1600/unnamed+(94).jpg)
Watu wawili wamepoteza maisha kutokana na ajali mbili zilizotokea katika maeneo mawili tofauti na nyakati tofauti Mkoani Dodoma.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP (pichani) ameeleza kuwa, ajali ya kwanza ilitokea tarehe 30/05/2014 majira ya saa 18:30hrs katika kijiji cha Ipala Wilaya ya Dodoma ambapo gari lenye namba za usajili DFP 614 Toyota Land Cruiser mali ya chuo cha Serikali...
10 years ago
Mwananchi06 Jun
Kuthamini lugha lugha ya Kiswahili
makala zangu kwa muda mrefu uliopita, nilieleza juu makosa mbalimbali yanayotokea katika magazeti ya Kiswahili hapa nchini. Nilieleza kuwa kipimo cha kujitathmini kwetu kama kweli tunathamini utamaduni wetu ni jinsi tunavyoenzi mila na desturi zetu na hasa lugha yetu ya Kiswahili ambayo ni urithi tuliopata kutoka kwa wazee wetu waliotutangulia. Wazee wetu walijitoa muhanga kuilinda lugha yetu kwa kutunga tenzi, mashairi, hadithi, tambo za aina mbalimbali na hasa nyimbo, misemo, nahau na...
10 years ago
Mwananchi19 Aug
Elimukombozi, lugha na upashanaji habari Tanzania
Mwalimu Julius Nyerere alifafanua Elimukombozi kuwa ni aina ya elimu inayomkomboa Mwafrika kutoka katika mawazo ya utumwa na ukoloni ili kumfanya ajihisi kuwa binadamu sawa na wengine mwenye haki na wajibu wa kibinadamu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania