Timu mbili Ligi ya Malawi zafungiwa
Vilabu viwili vya soka nchini Malawi vya Mighty Wanderers na Silver Strikers vimepigwa faini kufuatia ghasia za mashabiki wao
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3OtAUFP4jcE/VfJgdmfF7cI/AAAAAAAH384/FxxMDPiyTxg/s72-c/001.Ferrao.jpg)
WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO
![](http://4.bp.blogspot.com/-3OtAUFP4jcE/VfJgdmfF7cI/AAAAAAAH384/FxxMDPiyTxg/s640/001.Ferrao.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-3rPnvKAR8Ko/VfJghZutsEI/AAAAAAAH39A/NbQnv8YM4SA/s640/002.Ferrao.jpg)
Ferrao. NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Malawi, Tanzania zazungumza lugha mbili tofauti
Kile kilichoonekana kuanza kama mzaha kati ya Tanzania na Malawi kuhusu umiliki wa Ziwa Nyasa, sasa kimeanza kuchukua sura mpya kwa kila nchi kuendelea kutekeleza kitu inachokiamini kuwa ni sahihi.
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Chui ‘kupiga’ mbili mfululizo Ligi ya RBA
Timu ya Mpira wa Kikapu ya Chui inarejea kwenye Ligi ya Kikapu mkoani Dar es Salaam (RBA) kwa mechi mbili muhimu.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Akn4LDwu9Xx42LuHUPPN4kHhCtTpmpJF1MskViQ3VBSgn1yWizfMz99MewdXiTh*AF93Ab9T6ikhScUFRi4OxONa1UotqJA6/bado2.jpg?width=650)
Bado mbili Kazimoto apande Ligi Kuu Qatar
Kiungo huyo Mtanzania wa Al Markhiya, Mwinyi Kazimoto. Na Mwandishi Wetu
KAMA kikosi cha Al Markhiya kitafanikiwa kushinda mechi zake mbili zilizobaki, basi moja kwa moja kitapanda hadi Ligi Kuu nchini Qatar. Kiungo huyo Mtanzania wa Al Markhiya, Mwinyi Kazimoto ameliambia Championi Jumamosi kuwa, kesho Jumapili ndiyo fainali kwao. “Kesho tunacheza mechi moja kati ya hizo mbili za mwisho ambazo tunatakiwa kushinda ili...
11 years ago
Mwananchi13 Mar
Timu tano zawania Ligi Kuu
Wakati Polisi Morogoro ikiwa ya kwanza kupanda Ligi Kuu msimu wa 2014/2015, timu nyingine tano za ligi daraja la kwanza zinachuana kuwania nafasi mbili zilizobakia.
11 years ago
Mwananchi06 Mar
Msimamo wa ligi wazibeba timu nne tu
Ligi Kuu ya Tanzania bara itaendelea mwishoni mwa wiki kwenye viwanja tofauti huku timu nne zikiwa kwenye nafasi ya kutwaa ubingwa msimu huu wa 2013/2014.
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Timu 14 Ligi Kuu, mambo muhimu 14
Wachezaji wa timu 14 za Ligi Kuu Bara wameanza likizo tangu Jumapili ili kupisha kipindi cha usajili wa dirisha dogo baada ya raundi saba kumalizika huku mambo kadhaa na yenye umuhimu yakijitokeza.
10 years ago
BBCSwahili24 Apr
Ligi ya England timu 20 kushuka dimbani
Jumla ya timu 20 zinazoshiriki ligi ya England zinatarajiwa kushuka dimbani mwishoni mwa wiki.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania