Malaysia yaomba data kutoka nchi kadha
Malaysia yaomba data zaidi ya radar na satalaiti ili kugundua ndege iliyopotea iko wapi huku nyumba za marubani zapekuliwa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili17 Mar
Malaysia yaomba data na rada ya ndege
11 years ago
BBCSwahili22 Feb
Nchi changa zapata makadinali kadha
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/3FznjP7MMSc/default.jpg)
11 years ago
BBCSwahili27 May
Malaysia yatoa data kuhusu MH370
10 years ago
Mwananchi26 Sep
Serikali yaomba soko nchi za SADC
10 years ago
Dewji Blog26 Oct
Tanzania yaomba madaktari zaidi kutoka China
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
-Imekuwa inapokea madaktari kutoka China kwa miaka 46
-Yashukuru kwa kujengewa Hospitali ya magonjwa ya moyo Muhimbili
Tanzania imeiomba Jamhuri ya Watu wa China kuongeza idadi ya madaktari wake inaowatuma Tanzania kama msaada kutoa huduma ya tiba kama njia ya kuzidi kusaidia kukabiliana na upungufu wa madaktari nchini.
Aidha, Tanzania imeishukuru China kwa kujenga hospitali kubwa inayoweza kulaza wagonjwa 100 kwa...
11 years ago
BBCSwahili14 Jun
Nigeria yaomba ujuzi kutoka Sri lanka
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-H3yK9HZUKjw/U_8Tw9CETlI/AAAAAAAGKq4/Zdf2fqmuGMk/s72-c/unnamed%2B(37).jpg)
mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika kufanyika Agosti 29, jijini Dar
Alitoa rai hiyo alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar-es-salaam kuhusu mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika jijini Dar-es -salaam katika ukumbi wa...
9 years ago
Press04 Dec
Mkutano wa 10 wa uhamaji kutoka mfumo wa Analogia kwenda Digitali kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC)
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene akifunga Mkutano wa 10 wa uhamaji kutoka mfumo wa Analogia kwenda Digitali kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) kwa niaba ya Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo jana. Tanzania imepata heshima ya kuwa mwenyeji wa mkutano huo baada ya kuonekana kufanya vizuri katika uhamaji wa matumizi ya mfumo wa analogia kwenda digitali kwa wakati.
Mkurugenzi wa Idara...