Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yaomba madaktari zaidi kutoka China

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

-Imekuwa inapokea madaktari kutoka China kwa miaka 46

-Yashukuru kwa kujengewa Hospitali ya magonjwa ya moyo Muhimbili

Tanzania imeiomba Jamhuri ya Watu wa China kuongeza idadi ya madaktari wake inaowatuma Tanzania kama msaada kutoa huduma ya tiba kama njia ya kuzidi kusaidia kukabiliana na upungufu wa madaktari nchini.

Aidha, Tanzania imeishukuru China kwa kujenga hospitali kubwa inayoweza kulaza wagonjwa 100 kwa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR

  Dokta Gao Yun Lai akimpima presha na sukari bwana Mohd Ali mkazi wa Kisauni upimaji huo ulifanyika katika kijiji  cha kisauni Zanzibar.   Dokta Fadhil Mohd ambae ni dokta dhamana kanda ya Unguja akitoa maelezo kwa waandishi wa habari hawapo pichani.Wananchi mbalimbali wakipatawa  huduma za matibabu katika kijiji cha Kisauni zanzibar.Picha na Abdalla Omar habari maelezo zanzibar.

 

9 years ago

Vijimambo

TIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR.

1Dokta Gao Yun Lai akimpima presha na sukari bwana Mohd Ali, mkaazi wa Kisauni. PICHA NA ABDALLA OMAR – MAELEZO ZANZIBAR. 2Dokta Fadhil Mohd ambae ni D0kta Dhamana Kanda ya Unguja akitoa maelezo kwa waadishi wa habari (hawapo pichani).
3 45
Wananchi mbalimbali wakipatiwa huduma za matibabu katika kijiji cha Kisauni Zanzibar.  

                   Mwashungi Tahir Maelezo-Zanzibar 
Jumla ya madaktari bingwa tisa kutoka nchini china wakishirikiyana na madaktari wa hapa Zanzibar wameweza kutoa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Esaff yaomba bajeti zaidi

JUMUIYA ya Wakulima wadogo kutoka Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Esaff), umeziomba serikali za Afrika kuiongezea bajeti sekta ya kilimo ili kutokomeza njaa. Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mamlaka ya Nepal yaomba usaidizi zaidi

Mamlaka ya Nepal imeomba msaada zaidi wa helikopta kutoka kwa mataifa ya kigeni

 

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria yaomba ujuzi kutoka Sri lanka

Waziri wa Ulinzi nchini Nigeria amesema kuwa wanasomea ujuzi wa kijeshi uliotumiwa na Sri-lanka dhidi ya Tamil Tigers .

 

11 years ago

BBCSwahili

Malaysia yaomba data kutoka nchi kadha

Malaysia yaomba data zaidi ya radar na satalaiti ili kugundua ndege iliyopotea iko wapi huku nyumba za marubani zapekuliwa

 

10 years ago

Michuzi

WATAALAM WA BIASHARA NA VIWANDA TANZANIA KUTEMBELEA CHINA KUSAKA FURSA ZA KIBIASHARA ZAIDI.

TIMU ya wataalam wa biashara kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara na wafanyabiashara wengine wa nchini Tanzania wanatarajiwa kutembelea China baadaye Julai mwaka huu, ikiwa ni katika jitihada za kutafuta fursa za ki biashara ambazo zinaweza kutumika kuleta maendeleo nchini.
Hatua hiyo inakuja miezi michache baada ya ziara ya Rais Jakaya Kikwete nchini ambapo serikali ya China ilikubali kusaidia Tanzania katika maendeleo na uendeshaji wa Viwanda nchini.
Akizungumza wakati wa sherehe ya...

 

10 years ago

Vijimambo

SERIKALI YA TANZANIA YAPOKEA ZAIDI YA SH. BILIONI 10 KUTOKA FINLAND

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Doroth Mwanyika (kushoto) akitia saini mkataba wa ushirikiano wa Mpango wa Mageuzi ya Usimamizi wa Fedha za Umma (PFM) Awamu ya IV kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Balozi wa Finland nchini Bi. Sanikka Antila.Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Doroth Mwanyika (kushoto) akibadilishana hati ya mkataba wa ushirikiano wa Mpango wa Mageuzi ya Usimamizi wa Fedha za Umma (PFM) Awamu ya IV waliosaini leo jijini Dar es...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete aomba madaktari China

TANZANIA imeiomba Jamhuri ya Watu wa China kuongeza idadi ya madaktari wake, inaowatuma Tanzania kama msaada kutoa huduma ya tiba kama njia ya kuzidi kusaidia kukabiliana na upungufu wa madaktari nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani