Esaff yaomba bajeti zaidi
JUMUIYA ya Wakulima wadogo kutoka Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Esaff), umeziomba serikali za Afrika kuiongezea bajeti sekta ya kilimo ili kutokomeza njaa. Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
Halmashauri yaomba bajeti ya bil. 35/-
BARAZA la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega mkoani Tabora limeomba kuidhinishiwa kiasi cha sh 35,455,837,199 kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015. Akisoma taarifa ya bajeti hiyo, Kaimu Ofisa...
5 years ago
Michuzi
ARUSHA YAOMBA KUIDHINISHIWA MAPENDEKEZO YA BAJETI YA BILION 298.0/=

Kaimu Mkuu wa mkoa wa Arusha ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Monduli Idd Kimanta akiongoza kikao cha sekretariet ya mkoa huo iliyofanyika kwenye ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha picha na Ahmed Mahamoud Arusha

Wajumbe wa sekretarieti ya mkoa wa Arusha wakifuatilia hotuba ya Kaimu Mwenyekiti wa kikao hicho Dc Idd Kimanta kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt.Maulid Madeni Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro aliyeinamisha kichwa Mkuu wa wilaya ya Karatu Theresia Mahongo na Afisa wa...
10 years ago
BBCSwahili01 May
Mamlaka ya Nepal yaomba usaidizi zaidi
11 years ago
Dewji Blog26 Oct
Tanzania yaomba madaktari zaidi kutoka China
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
-Imekuwa inapokea madaktari kutoka China kwa miaka 46
-Yashukuru kwa kujengewa Hospitali ya magonjwa ya moyo Muhimbili
Tanzania imeiomba Jamhuri ya Watu wa China kuongeza idadi ya madaktari wake inaowatuma Tanzania kama msaada kutoa huduma ya tiba kama njia ya kuzidi kusaidia kukabiliana na upungufu wa madaktari nchini.
Aidha, Tanzania imeishukuru China kwa kujenga hospitali kubwa inayoweza kulaza wagonjwa 100 kwa...
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Bunge lahaha kusaka muda zaidi wa Bajeti
11 years ago
Habarileo15 Jun
‘Bajeti ijikite zaidi maendeleo ya sayansi, teknolojia’
SERIKALI imeombwa kuangalia uwezekano wa kuwekeza zaidi na kuongeza bajeti katika eneo la maendeleo ya sayansi, teknolojia, ubunifu na utafiti ili kuharakisha maendeleo nchini na jitihada za kupunguza umasikini.
10 years ago
Mwananchi13 May
MAONI: Bajeti ni muhimu zaidi, wabunge waache siasa
10 years ago
MichuziSerikali yatangaza kutenga bajeti zaidi kwenye tafiti za afya.
10 years ago
Bongo523 Oct
The CEO: Filamu inayofanyika kwenye nchi zaidi ya tano Afrika, bajeti yake ni dola milioni 1