Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATAALAM WA BIASHARA NA VIWANDA TANZANIA KUTEMBELEA CHINA KUSAKA FURSA ZA KIBIASHARA ZAIDI.

TIMU ya wataalam wa biashara kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara na wafanyabiashara wengine wa nchini Tanzania wanatarajiwa kutembelea China baadaye Julai mwaka huu, ikiwa ni katika jitihada za kutafuta fursa za ki biashara ambazo zinaweza kutumika kuleta maendeleo nchini.
Hatua hiyo inakuja miezi michache baada ya ziara ya Rais Jakaya Kikwete nchini ambapo serikali ya China ilikubali kusaidia Tanzania katika maendeleo na uendeshaji wa Viwanda nchini.
Akizungumza wakati wa sherehe ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

ARSENAL FC YATEMBELEA PSPF KWA LENGO LA KUSAKA FURSA ZA MAHUSIANO YA KIBIASHARA

Mkurugenzi wa Mahusiano ya kimaendeleo wa Klabu ya Arsenal Bw. Sam Stone (Kulia) akimkabidhi jezi ya timu hiyo Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu. Kushoto ni Bw. Daniel Willey, Meneja wa Mahusiano ya Kimaendeleo ya Arsenal. Maafisa hao wapo nchini kwa lengo la kukutana na wadau mbalimbali ili kufungua mahusiano ya kibiashara, katika mpango huo makocha wa timu hiyo na baadhi ya nyota waliowahi kuchezea timu hiyo watapata fursa kutembelea Tanzania. Klabu ya Arsenal...

 

10 years ago

Michuzi

ARSENAL FC YATEMBELEA PSPF KWA LENGO LA KUSAKA FURSA ZA MAHUSIANO YA KIBIASHARA.

 Mkurugenzi wa Mahusiano ya kimaendeleo wa Klabu ya Arsenal Bw. Sam Stone (Kulia) akimkabidhi jezi ya timu hiyo Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu. Kushoto ni Bw. Daniel Willey, Meneja wa Mahusiano ya Kimaendeleo ya Arsenal. Maafisa hao wapo nchini kwa lengo la kukutana na wadau mbalimbali ili kufungua mahusiano ya kibiashara, katika mpango huo makocha wa timu hiyo na baadhi ya nyota waliowahi kuchezea timu hiyo watapata fursa kutembelea Tanzania. Klabu ya Arsenal...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA CHINA 2015, DAR ES SALAAM LEO

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa (wa tano kulia), akifurahi baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonyesho ya Biashara ya Bidhaa za China 2015, uliofanyika Ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam leo asubuhi. Wengine na maofisa biashara wa China na wadau wa masuala ya biashara. Hapa Katibu Uledi Mussa akitia saini wakati wa ufunguzi wa maonyesha hayo. Hapa akioneshwa bidhaa mbalimbali.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara afungua maonyesho ya bidhaa za China ukumbi wa Diamond Jubilee

katibu_02

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa kufungua maonyesho ya bidhaa za China 2015,  katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Mpiga picha wetu).

katibu_03

katibu_05 fungua maonyesho1

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa (katikati) akikata utepe kufungua maonyesho ya  bidhaa za China 2015  katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana.

katibu_06 fungua maonyesho00

katibu_04 tembelea

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Viwanda ba Biashara Dr. Kigoda afunga mafunzo ya wajasiliamali zaidi ya 3500 jijini Dar es Salaam

 Waziri wa Viwanda na Biashara Dr. Abdallah Kigoda akiongea wakati wa kufunga mafunzo ya wiki ya huduma za kifedha na uwekezaji yaliyoshirikisha zaidi ya wajasiliamali 3500 jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Waziri wa Viwanda na Biashara Dr. Abdallah Kigoda akikabidhi kikombe kwa mwakilishi wa Exim Bank Agnes Kaganda baada ya benki hiyo kushinda nafasi ya tatu kwenye mafunzo ya wiki ya huduma za kifedha na uwekezaji yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Viwanda na Biashara Dr....

 

11 years ago

Habarileo

Makamu wa Rais China kutembelea Tanzania

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao anatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini kuanzia Juni 21 hadi 26. Hayo yalisemwa leo na Balozi wa Tanzania nchini China, Abrahaman Shimbo wakati akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

AIRTEL FURSA YAWEZESHA VIJANA ZAIDI YA 200 ARUSHA MBINU ZA KUENDESHA BIASHARA ZAO

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Beatrice Singano Mallya akizungumza wakati wa mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, yaliyofanyika jijini Arusha jana. Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Arusha, Blandina Nkini akifungua mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, yaliyofanyika jijini Arusha jana.…
...

 

9 years ago

BBCSwahili

Tanzania:Waziri wa Viwanda na Biashara aaga dunia

Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Abdallah Kigoda amefariki dunia siku ya jumatatu nchini India

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA NA INDIA ZINAWEZA KUFANYA VIZURI ZAIDI KIBIASHARA, RAIS KIKWETE


Na Ally Kondo, Delhi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa licha ya biashara kati ya Tanzania na India kuongezeka katika miaka ya hivi karibuni, bado kuna nafasi ya kufanya vizuri zaidi endapo fursa zilizopo zitatumiwa ipasavyo.

Rais Kikwete alisema hayo alipokuwa anaongea na Watendaji Wakuu wa Makampuni Makubwa ya India jijini Delhi leo tarehe 18 Juni 2015.

Rais Kikwete yupo nchini India kwa ziara ya Kitaifa ya siku nne iliyoanzia Siku ya Jumanne tarehe 17 Juni, 2015. Alisema kuwa lengo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani