Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malaysia yatoa data kuhusu MH370

Serikali ya Malaysia, imetoa data iliyotumika kuthibitisha kuwa ndege ya Malaysia iliyotoweka MH370 ilianguka kusini mwa bara Hindi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Malaysia yasitisha msako wa MH370

Serikali ya Malaysia imesitisha shughuli ya kuitafuta ndege iliyopotea ya MH370 na kuitaja kama ajali huku ikisema abiria wote waliangamia

 

11 years ago

BBCSwahili

Ndege ya MH370 ya Malaysia ilibadili mkondo

Jeshi la Malaysia limekanusha madai kuwa ndege ya Malaysia iliyotoweka ilionekana mara Magharibi mwa rasi ya nchi hiyo

 

10 years ago

BBCSwahili

MH370:Australia na Malaysia kuchunguza mabaki

Serikali nchini Australia na Malaysia zimeelezea matumaini baada ya kupatikana kwa kipande cha mabaki ya ndege karibu na Madagascar

 

11 years ago

Michuzi

Ndege ya MH370 ya Malaysia iliyopotea,ilibadili mkondo


Ndege ya Malaysia iliyotoweka Mkuu wa jeshi la anga la Malaysia, amekanusha madai kuwa ndege ya Malaysia iliyotoweka, ilionekana mara ya mwisho Magharibi ya rasi ya nchi hiyo, eneo ambalo ni mbali zaidi na njia iliyostahili kupita.

Generali Rodzali Daud, amesema kuwa hawawezi kupuuza uwezekano huo, lakini amesema madai kuwa mawasiliano ya ndege hiyo yalinaswa na mtambo wa radar katika eneo hilo sio kweli.
Amesema mawasiliano ya mwisho ya ndege hiyo iliyokuwa ikitoka Kuala Lumpur kuelekea...

 

11 years ago

BBCSwahili

Malaysia yaomba data na rada ya ndege

Serikali ya Malaysia yaomba kupewa rada zaidi pamoja na data ya satelite ya ndege iliopotea.

 

11 years ago

BBCSwahili

Malaysia yaomba data kutoka nchi kadha

Malaysia yaomba data zaidi ya radar na satalaiti ili kugundua ndege iliyopotea iko wapi huku nyumba za marubani zapekuliwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Malaysia yatoa glavu milioni 20

Malaysia imetangaza kutoa mchango wa glavu milioni 20 kwa mataifa 5 yanayopambana na homa hatari ya Ebola Afrika Magharibi

 

11 years ago

BBCSwahili

Taharuki kuhusu neno 'Allah' Malaysia

Polisi nchini Malaysia wanasema kuwa wamedhibiti ulinzi wa makanisa katika jimbo la Penang baada ya moja ya makanisa kushambuliwa kwa mabomu

 

11 years ago

BBCSwahili

Facebook yapinga kesi kuhusu data

Facebook ililazimishwa kuwasilisha data kuhusu wateja wake waliodaiwa kuhusika na uhalifu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani