Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndege ya MH370 ya Malaysia ilibadili mkondo

Jeshi la Malaysia limekanusha madai kuwa ndege ya Malaysia iliyotoweka ilionekana mara Magharibi mwa rasi ya nchi hiyo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Ndege ya MH370 ya Malaysia iliyopotea,ilibadili mkondo


Ndege ya Malaysia iliyotoweka Mkuu wa jeshi la anga la Malaysia, amekanusha madai kuwa ndege ya Malaysia iliyotoweka, ilionekana mara ya mwisho Magharibi ya rasi ya nchi hiyo, eneo ambalo ni mbali zaidi na njia iliyostahili kupita.

Generali Rodzali Daud, amesema kuwa hawawezi kupuuza uwezekano huo, lakini amesema madai kuwa mawasiliano ya ndege hiyo yalinaswa na mtambo wa radar katika eneo hilo sio kweli.
Amesema mawasiliano ya mwisho ya ndege hiyo iliyokuwa ikitoka Kuala Lumpur kuelekea...

 

11 years ago

GPL

SIKU YA 17 KUPOTEA NDEGE YA MALAYSIA: NDEGE YA MALAYSIA ILIRUKA CHINI YA FUTI 12,000

Naibu Waziri Mkuu wa Malaysia, Warren Truss, kulia, akizungumza na ofisa wa juu ya kikosi cha uokoaji na mratibu wa operesheni ya kuitafuta ndege iliyopotea, John Rice. Wataalamu wa Rada wakiwa wamepigwa picha ndani ya ndege ya Kijeshi ya New Zealand wakiwa katika msako wa chombo hicho kilichopotea Kusini mwa bahari ya…

 

10 years ago

BBCSwahili

Malaysia yasitisha msako wa MH370

Serikali ya Malaysia imesitisha shughuli ya kuitafuta ndege iliyopotea ya MH370 na kuitaja kama ajali huku ikisema abiria wote waliangamia

 

11 years ago

BBCSwahili

Malaysia yatoa data kuhusu MH370

Serikali ya Malaysia, imetoa data iliyotumika kuthibitisha kuwa ndege ya Malaysia iliyotoweka MH370 ilianguka kusini mwa bara Hindi.

 

10 years ago

BBCSwahili

MH370:Australia na Malaysia kuchunguza mabaki

Serikali nchini Australia na Malaysia zimeelezea matumaini baada ya kupatikana kwa kipande cha mabaki ya ndege karibu na Madagascar

 

11 years ago

GPL

PICHA SI ZA MABAKI YA NDEGE YA MALAYSIA - MAOFISA WA MALAYSIA

Waziri wa ulinzi Hishammuddin Hussein (katikati) akikanusha madai ya ndege kukaa masaa manne hewani kabla ya kupotea.…

 

11 years ago

GPL

SIKU YA KUMI NA MOJA BAADA YA NDEGE KUPOTEA: NDUGU WA ABIRIA WA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA WAISHUTUMU SERIKALI

Wanawake wawili (mmoja hayupo pichani) wakiondolewa kwa nguvu kwenye mkutano wa waandishi wa habari ambao ulipangwa kufanyika leo mjini Kuala Lumpur.  Wanawake hao ni baadhi ya ndugu ‘waliopotea’ katika ndege aina ya Boeing 777 namba MH370 iliyopotea zaidi ya siku 10 zilizopita ambao wameilaumu serikali ya Malaysia kwa kutowaambia ukweli na kuwazungusha kuhusu juhudi za kweli kuhusiana na ndugu zao.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

MABAKI YA NDEGE YANAYOSEMEKANA NI YA NDEGE YA MALAYSIA

Ndege ya Malaysia iliyopotea yaBoing 777 , MH370
Mamlaka ya usafirishaji nchini Ufaransa imesema inachunguza mabaki ya ndege ya yanayodaiwa kupatikana ndani ya Bahari ya Hindi yanachunguzwa ili kubaini kama ni ya ndege ya Malaysia ya MH370 iliyopotea bila kuwa na taarifa zozote kwa muda mrefusasa.

Taarifa kutoka Marekani zinasema wachunguzihao ambao wameona picha za mabaki hayo wana uhakika mkubwa kwamba ni ya ndege hiyo ya Malaysia ambapo mabaki hayo ni sehemu ya bawa la ndege.

Hata hivyo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani