Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malecela: Msipoteze muda kuwashabikia wagombea

Waziri Mkuu mstaafu John Malecela, amesema kushabikia wanasiasa wanaojipitisha na kutangaza nia ya kutaka kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kabla ya wakati, ni sawa na kupoteza muda, kwani nchi bado in mambo mengi ya maendeleo yanayopaswa kufanywa, kabla ya uchaguzi mkuu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

CCM msipoteze muda, ramli inaonyesha serikali 3

Katika salamu zao za Sikukuu ya Pasaka, maaskofu 32 wa Kanisa Katoliki nchini wamewataka wajumbe wa Bunge la Katiba kuheshimu maoni ya wananchi katika rasimu ya Katiba iliyoandaliwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Ni muda wa kuwahoji wagombea

Kila unapofanyika Uchaguzi Mkuu nchini idadi kubwa ya wabunge huwa hawarudi bungeni, kwa maana ya kushindwa kwa kura katika uchaguzi huo, ama kutopitishwa na vyama vyao kugombea tena nafasi hiyo.

 

9 years ago

StarTV

Mdahalo wa wagombea Ukawa wadai hawana muda kwa sasa

Umoja wa Vyama vinavyounda Ukawa umesema kwa sasa haupo tayari kushiriki midahalo inayoandaliwa na Taasisi za Kijamii kwa wakati ni huu na kupinga kauli iliyotolewa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania, Kajubi Mukajanga kuwa amewapa mwaliko si kweli.

Ukawa wamesema, si kweli kwamba wamepata mwaliko kutoka MCT na kudai kuwa kauli ya kiongozi huyo wa chombo kinachoheshimika ni ya upotosha. 

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mwenyekiti mweza wa Umoja wa Ukawa,...

 

11 years ago

IPPmedia

Anne Kilango Malecela


IPPmedia
Anne Kilango Malecela
IPPmedia
The twelve committees of the Constituent Assembly yesterday started work on Chapter One and Six of the draft constitution behind closed doors and tight security. The two chapters of the draft covers the Union issue which has already divided the members in ...
Debates on 2nd Katiba draft 'go on smoothly'Daily News

all 3

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malecela ‘amchapa’ Lowassa

MALUMBANO na vijembe vinavyotokana na ‘figisufigisu’ za urais ndani ya  Chama Cha Mapinduzi (CCM), sasa yameingia katika hatua mpya baada ya mkongwe wa siasa nchini, John Malecela, kumtolea uvivu Mbunge...

 

11 years ago

GPL

GARI LA MTOTO WA MALECELA LAKAMATWA

Stori:  Joseph Shaluwa
MKURUGENZI wa Kampuni ya Ntyuka Security ya mjini Dodoma, Samwel Malecela ameingia matatani baada ya gari lake aina ya Toyota Prado kukamatwa kwa ajili ya kupigwa mnada kutokana na kukabiliwa na madeni.  Mkurugenzi wa Kampuni ya Ntyuka Security ya mjini Dodoma, Samwel Malecela. Samwel ni mtoto wa waziri mkuu wa zamani, Mhe. John Malecela ambaye pia aliwahi kuwa mbunge katika Jimbo la Mtera kwa...

 

10 years ago

TheCitizen

Malecela seeks CCM nomination

Nyalandu, two other rulling party members pick up nomination forms for the post of president

 

10 years ago

Mwananchi

Malecela asuluhisha mgogoro wa Sudan Kusini

Viongozi waliogawanyika na kuanzisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama tawala cha Sudan People Liberation Movement (SPLM), Sudan Kusini wamekubaliana kuwajibika ili kurejesha amani na utulivu nchini humo.

 

10 years ago

Habarileo

Dk Mwele Malecela ajitosa urais CCM

MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa ya Binadamu Dk Mwele MalecelaMKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa ya Binadamu Dk Mwele Malecela mtoto wa Makamu wa zamani wa CCM John Malecela ni miongoni mwa wana CCM ambao wamejitosa kugombea urais kupitia CCM.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani