Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GARI LA MTOTO WA MALECELA LAKAMATWA

Stori:  Joseph Shaluwa
MKURUGENZI wa Kampuni ya Ntyuka Security ya mjini Dodoma, Samwel Malecela ameingia matatani baada ya gari lake aina ya Toyota Prado kukamatwa kwa ajili ya kupigwa mnada kutokana na kukabiliwa na madeni.  Mkurugenzi wa Kampuni ya Ntyuka Security ya mjini Dodoma, Samwel Malecela. Samwel ni mtoto wa waziri mkuu wa zamani, Mhe. John Malecela ambaye pia aliwahi kuwa mbunge katika Jimbo la Mtera kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Gari la uhamiaji lakamatwa na dizeli

GARI la uhamiaji mkoani Geita limekamatwa katika mgodi wa Geita Gold Mine (GGM) likiwa na dizeli pamoja na kiroba cha mchanga. Siku chache zilizopita gari la kubeba wagonjwa katika Kituo...

 

11 years ago

GPL

GARI LA DUDE LAKAMATWA DAR KWA UJAMBAZI

Stori: waandishi wetu
GARI la muigizaji maarufu wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ limekamatwa na Polisi jijini Dar es Salaam likihusishwa na tukio la ujambazi linalodaiwa kutokea Kijitonyama Mpakani usiku wa saa 5.15 Julai 21 mwaka huu. Gari la dude muda mfupi baada ya kukamatwa, Dude alitokea Polisi. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika, gari hilo aina ya Vitz lenye namba za usajili T 360 BAJ, lilikutwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Gari la kigogo Bodi ya Kahawa lakamatwa Dar es Salaam

Gari binafsi la Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB), Injinia Adolf Kumburu lililoibwa na watu wasiojulikana mjini Moshi, Oktoba mwaka jana, limekamatwa jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

GARI LAKAMATWA LIKIWA LIMEBEBA MAITI YENYE DAWA ZA KULEVYA MKOANI MOROGORO

Kamanda wa Polisi Mkoani Morogoro,Faustine Shilogile akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Hizi ndio baadhi ya Pipi zilitolewa tumboni mwa Marehemu Khalid Kitala. …

 

10 years ago

Vijimambo

Mtoto Wa John Malecela Ajitosa Kugombea Urais wa Tanzania Kupitia CCM


MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa ya Binadamu Dk Mwele Malecela mtoto wa Makamu wa zamani wa CCM John Malecela ni miongoni mwa wana CCM ambao wamejitosa kugombea urais kupitia CCM.Dk Mwele kesho amepangiwa na CCM kuchukua fomu za kuomba kugombea urais. Ratiba ya CCM iliyotolewa jana Makao Makuu ya chama hicho mjini hapa inaonesha kuwa licha ya Dk Mwele, mwingine ambaye atachukua fomu hiyo kesho ni Nicholaus Mtenda ambaye pia amejitokeza kuomba kugombea urais kupitia...

 

10 years ago

GPL

POLISI AMGONGA MTOTO, ATOKA NDUKI, ATELEKEZA GARI

Na DUSTAN SHEKIDELE, MOROGORO POLISI mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja, aliyekuwa akiendesha gari kwa mwendo wa kasi, Jumapili iliyopita alimgonga mtoto wa kike, Zahara Almeda katika barabara ya Mji Mpya. Mtoto Zahara Almeda aliyegongwa na polisi huyo. Katika tukio ambalo mwandishi wa habari hizi alilishuhudia, mara tu baada ya kumgonga mtoto aliyekuwa akitoka sokoni kununua magimbi na mihogo, askari huyo aliteremka...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa miaka mitano akamatwa Marekani akiendesha gari la wazazi wake

Mtoto mwenye umri wa miaka mitano amekamatwa na polisi huko Utah Marekani akiendesha gari la wazazi wake

 

5 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa miaka mitano apatikana akiendesha gari la mzazi wake Utah

Akiwa na dola 3 mfukoni mwake, mvulana huyo kutok aeneo la Utah alikuwa anaelekea California kununua gari aina ya Lamborghini.

 

10 years ago

GPL

MTOTO ALIVYOOMBOLEZA KIFO CHA MAMA YAKE ALIYEFARIKI KATIKA AJALI YA GARI ARUSHA

Marehemu Calista Charles Makoi enzi za uhai wake. Kijana akiomboleza kifo cha mama yake, aitwaye Calista Charles Makoi aliyefariki kwenye ajali mbaya iliyolihusisha basi la Mrindoko Trans na gari dogo lililokuwa linaendeshwa na mwanamke huyo ambaye ni mke wa mmiliki wa Hoteli na Klabu ya AQ iliyopo jirani na stendi ya mabasi jijini Arusha Januari 5, 2015 maeneo ya Kikatiti mkoani Arusha. Taswira ya ajali hiyo.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani