Gari la kigogo Bodi ya Kahawa lakamatwa Dar es Salaam
Gari binafsi la Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB), Injinia Adolf Kumburu lililoibwa na watu wasiojulikana mjini Moshi, Oktoba mwaka jana, limekamatwa jijini Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8qIoio0GTJOsuyikhCijCd**YNku3J*PRUY1Xs5xMfMgw-0v1nifJvBg2KcMtlkqN3zhDF7ELpflVSk6N00tx3f1q8gEcym9/dude.jpg)
GARI LA DUDE LAKAMATWA DAR KWA UJAMBAZI
Stori: waandishi wetu
GARI la muigizaji maarufu wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ limekamatwa na Polisi jijini Dar es Salaam likihusishwa na tukio la ujambazi linalodaiwa kutokea Kijitonyama Mpakani usiku wa saa 5.15 Julai 21 mwaka huu. Gari la dude muda mfupi baada ya kukamatwa, Dude alitokea Polisi. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika, gari hilo aina ya Vitz lenye namba za usajili T 360 BAJ, lilikutwa...
10 years ago
MichuziBODI YA KAHAWA NCHINI(TCB) YAZINDUA MTAALA ENDELEVU WA KITAIFA JUU YA ZAO LA KAHAWA NCHINI
10 years ago
MichuziMONDAY, DECEMBER 1, 2014 BODI YA KAHAWA NCHINI(TCB) YAZINDUA MTAALA ENDELEVU WA KITAIFA JUU YA ZAO LA KAHAWA NCHINI
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Gari la uhamiaji lakamatwa na dizeli
GARI la uhamiaji mkoani Geita limekamatwa katika mgodi wa Geita Gold Mine (GGM) likiwa na dizeli pamoja na kiroba cha mchanga. Siku chache zilizopita gari la kubeba wagonjwa katika Kituo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8qIoio0GTJOBA6A33LRnghk4v8Hn6NWv9Woil95avHuY-9LGbOgKNw3Z-yoODWrVytiyXqEHsHnXv-*W1XNM52ORWYP2PnIw/gari.jpg)
GARI LA MTOTO WA MALECELA LAKAMATWA
Stori:Â Joseph Shaluwa
MKURUGENZI wa Kampuni ya Ntyuka Security ya mjini Dodoma, Samwel Malecela ameingia matatani baada ya gari lake aina ya Toyota Prado kukamatwa kwa ajili ya kupigwa mnada kutokana na kukabiliwa na madeni. Â Mkurugenzi wa Kampuni ya Ntyuka Security ya mjini Dodoma, Samwel Malecela. Samwel ni mtoto wa waziri mkuu wa zamani, Mhe. John Malecela ambaye pia aliwahi kuwa mbunge katika Jimbo la Mtera kwa...
11 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-ldvENWuoabo/UrvPGm4t29I/AAAAAAAAnZc/IyO96HYhnRc/s640/1.png?width=640)
GARI LAKAMATWA LIKIWA LIMEBEBA MAITI YENYE DAWA ZA KULEVYA MKOANI MOROGORO
Kamanda wa Polisi Mkoani Morogoro,Faustine Shilogile akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Hizi ndio baadhi ya Pipi zilitolewa tumboni mwa Marehemu Khalid Kitala. …
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-WzWTQLrKICQ/VFTOHetwN8I/AAAAAAACuJY/aeRNi4Newu0/s72-c/2.jpg)
SIMTANK YAMKABIDHI WAKALA GARI JIPYA DAR ES SALAAM
![](http://1.bp.blogspot.com/-WzWTQLrKICQ/VFTOHetwN8I/AAAAAAACuJY/aeRNi4Newu0/s1600/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-haodDF2seSA/VFTOHJsO7cI/AAAAAAACuJU/XAVsZQ1-vtU/s1600/1.jpg)
======== ======= =======Kampuni ya Silafrica Tanzania Ltd,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6bqEy3QUuqvZLgtDNIYqO42DFASFfxUwizYVk4Bc9uPZ3cT0oqq4Lw-DEn9DqouwPRhSBV3dQmYXzLP7aOZbVZz/kigogo.jpg?width=650)
KIGOGO IKULU AMHONGA KAJALA GARI
Stori:Waandishi Wetu
NI madai mazito! Kwamba, nyota wa muvi za Kibongo, Kajala Masanja amehongwa gari na mtu anayedaiwa kuwa ni kigogo wa Ikulu. Hii ndiyo habari ya mjini kwa sasa na Risasi Jumamosi limeifukunyua. Nyota wa muvi za Kibongo, Kajala Masanja. Kwa mujibu wa habari hizo ambazo zipo hadi kwenye mitandao ya kijamii, hasa Instagram, Kajala alinunuliwa gari hilo aina ya Toyota Brevis lenye rangi ya bluu...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-4-c39yotXXk/VDAPdRQBXiI/AAAAAAAGn00/KGP3Axxo3rY/s72-c/unnamed%2B(11).jpg)
mahafali ya tano ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi yafana jijini Dar es Salaam
![](http://3.bp.blogspot.com/-4-c39yotXXk/VDAPdRQBXiI/AAAAAAAGn00/KGP3Axxo3rY/s1600/unnamed%2B(11).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-0kkbxm7BKKQ/VDAPdsQNSKI/AAAAAAAGn04/J-24oK5nM-0/s1600/unnamed%2B(12).jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania