KIGOGO IKULU AMHONGA KAJALA GARI
![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6bqEy3QUuqvZLgtDNIYqO42DFASFfxUwizYVk4Bc9uPZ3cT0oqq4Lw-DEn9DqouwPRhSBV3dQmYXzLP7aOZbVZz/kigogo.jpg?width=650)
Stori:Waandishi Wetu NI madai mazito! Kwamba, nyota wa muvi za Kibongo, Kajala Masanja amehongwa gari na mtu anayedaiwa kuwa ni kigogo wa Ikulu. Hii ndiyo habari ya mjini kwa sasa na Risasi Jumamosi limeifukunyua. Nyota wa muvi za Kibongo, Kajala Masanja. Kwa mujibu wa habari hizo ambazo zipo hadi kwenye mitandao ya kijamii, hasa Instagram, Kajala alinunuliwa gari hilo aina ya Toyota Brevis lenye rangi ya bluu...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Gari la kigogo Bodi ya Kahawa lakamatwa Dar es Salaam
10 years ago
Mtanzania05 Mar
Kigogo Ikulu aburuzwa Madili kwa Escrow
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KIGOGO wa Ikulu (Mnikulu), Shabani Gurumo, amelishangaza Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa kusema hakufahamu sababu za kuwekewa kiasi cha Sh 80,850,000 kwenye akaunti yake.
Mnikulu huyo alipinga madai ya yeye kupewa fedha na Kampuni ya VIP Engineering ila alipewa na James Rugemalira kutokana na urafiki wao walionao kwa muda wa miaka 10 na hazihusiani na mgawo.
Alisema wakiwa katika mazungumzo na rafiki yake Rugemalira, alipewa maelezo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*k9pHGBCHsmlvFYqxzmuQVEkX-s-wKTSl*Z-AYcMR4eO*wifNx*3185F8ty2hkZHO5CAVOAFP6pEpS-7Cy-2hs9ywvXiu1Og/KHKYUK.gif?width=650)
KIGOGO IKULU AZUIA NYUMBA YA JIDE ISIUZWE
10 years ago
Mtanzania27 Apr
EFM yakabidhi gari, Kajala awapoza walioshindwa
NA ASIFIWE GEORGE
MKAZI wa Ilala, Stela Robert (26) na Gabriel Geoffrey (36) wa Temeke wameibuka washindi wa gari katika shindano la Shika Ndinga lililoandaliwa na Kituo cha Redio cha EFM cha jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadick ndiye aliyewakabidhi funguo za magari yao maarufu kwa jina la Kirikuu lililofanyika katika viwanja vya Tanganyika Pekas Kawe huku akiwataka wasiofanikiwa kupata zawadi waendelee kujaribu bahati zao katika mashindano mengine...
10 years ago
Vijimambo04 Mar
Ngeleja ajimaliza Escrow, Adai hajapokea mgawo peke yake, Naye kigogo Ikulu kula kibano leo.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Ngeleja-04March2015.jpg)
Ngeleja (47), ambaye amewahi pia...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cmufrv6JsXU/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies01 Oct
Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.
Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao
NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
10 years ago
Vijimambo19 Jun
Askari Polisi Wagongwa Na Gari Baada Ya Gari Hiyo Kukataa
Ajali Arusha: Askari Polisi wagongwa na gari Ni baada ya dereva kusimamishwa akakataa, Trafiki wakapiga simu mbele, alipofika akakutwa askari wameweka kizuizi njiani akapita nao.