Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malecela: Wakati utafika wasomi watabaki kwenye taaluma zao

Katika toleo la jana Waziri Mkuu mstaafu, John Malecela alizungumzia historia yake katika siasa na mchakato wa Katiba Mpya. Katika sehemu ya pili ya mahojiano na gazeti hili, anaeleza pamoja na mambo mengine, ubinafsishaji, ajira na ushiriki wa wasomi kwenye siasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Utafika wakati lazima ufanye uamuzi mgumu

Watafiti wa maisha ya binadamu na tabia zake, wanaamini kuwa kila mmoja utafika wakati atakutana na jambo litakalomlazimu kufanya au kutoa uamuzi mgumu.

 

9 years ago

StarTV

Wataalamu wa afya wahimizwa kutumia taaluma zao kwakufanya tafiti

Wataalamu wa Sekta ya afya nchini wanapaswa kutumia taaluma yao kutafiti na kugundua visababishi vya magonjwa mbalimbali yanayoathiri jamii hali itakayosaidia Serikali kukabiliana na magonjwa husika.

Tafiti zinaonyesha kuwa magonjwa mengi yamekuwa yakiikumba jamii kutokana na kukosekana kwa watalaamu wa kubaini visababishi vya maradhi hayo.

Mkuu wa chuo kikuu kishiriki cha Sayansi ya tiba cha  KCMU College kilichopo mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro  Prof.Elgibert Kessy anaona ipo haja kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Wastaafu watakiwa kushirikiana kwa karibu katika kutumia ujuzi na Taaluma zao za muda mrefu

Katibu wa Jumuiya ya Wafanyakazi wastaafu Pemba Bwana Majid Moh’d akimkabidhi risala Mkamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwenye hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Jumuiya hiyo hapo ukumbi wa Tasaf Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Chake chake Pemba. Baadhi ya Wajumbne wa Bodi ya Wadhamini ya Jumuiya ya Wafanyakazi Wastaafu Pemba akifutilia Hotuba ya Balozi Seif hayupo pichani wakati akiizindua rasmi. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif...

 

9 years ago

Michuzi

TASAF YAWAHIMIZA WAANIDISHI WA HABARI KUZINGATIA MAADILI YA TAALUMA YAO HASA WAKATI HUU WA UCHAGUZI.

 Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bwana Ladislaus Mwamanga amewahimiza waandishi wa habari mkoani Dar es salaam kuzingatia maadili ya taaluma hiyo hasa wakati huu ambapo taifa linaingia katika hatua muhimu ya kuchagua viongozi katika uchaguzi mkuu.
Mwamanga ambaye alikuwa mgeni rasmi katika ufungaji wa kongamano hilo amewasihi waandishi wa habari kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia misingi ya taaluma yao ili kuepukana upotoshaji na kuitia nchi katika mgogoro usiokuwa wa lazima. Amesema taaluma...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni wakati wa wasomi kushiriki mabadiliko chanya

KIONAMBALI alikuwa akisoma kitu kwenye mtandao. Mwandishi wa kitu kile alikuwa anasema kwamba wanafunzi wenye akili nyingi husoma na kuwa wahandisi. Wenye akili za wastani husoma na kuwa wahasibu na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Watumishi wa kada za afya nchini watakiwa kufanya kazi kwa kufuata maadili na viapo vya taaluma zao

IMG-20160105-WA0026

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akimjulia hali mama aliyejifungua kwenye wodi ya wazazi hospitali teule ya rufaa ya mkoa wa Geita.

IMG-20160105-WA0030

Wauguzi wa wodi ya akinamama katika hospitali teule ya mkoa wa Geita.

IMG-20160105-WA0029

Tabibu wa kituo cha afya Nyankumbu, Abdallah Kiroboto akimsikiliza Waziri Ummy mara alipoingia kwenye chumba cha kutolea huduma, pembeni ni mama aliyefika kituoni hapo na watoto wake kupata matibabu.

IMG-20160105-WA0031

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,...

 

11 years ago

Michuzi

KATAA UMEME FAMILY YAWAKEMEA WATU WANAOTUMIA PICHA ZAO KWENYE BIASHARA ZAO ZA MADAWA YA KUPUNGUZA UZITO

Kiongozi wa Kikundi cha Kataa Unene Family (KUF) ambaye pia ni mwandishi na mtangazaji wa Televison ya Taifa (TBC1), Angella Msangi amekemea tabia ya baadhi ya wafanyabiashara wanaotumia picha zao ili waweze kuuza biashara zao za madawa ya kupunguza uzito. Akizungumza  kwa masikitiko makubwa, Kiongozi huyo alisema kuwa kuna wafanyabiasha ambao si waaminifu wamekuwa wakichukua picha zao katika mitandao ya jamii na sehemu nyingine na kutangazia biashara zao kuwa hao wametumia dawa zao na...

 

9 years ago

CCM Blog

WASOMI KUJADILI HOTUBA YA RAIS DK. MAGUFULI ALIYOITOA WAKATI WA KUFUNGUA BUNGE MJINI DODOMA

Waandaaji wa Mdajala kuhusu Hotuba ya Rais Dk. John Magufuli, aliyoitoa wakati wa kufungua Bunge mjini Dodoma, wakizungumza na waandishi wa habari leo, katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam.


 

11 years ago

Mwananchi

Wasomi: Tusitarajie jipya kwenye bajeti

 Zikiwa zimesalia saa 24 kabla ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2014/15 kutangazwa bungeni mjini Dodoma, baadhi ya wachumi wamesema Watanzania wasitarajie chochote kipya katika bajeti hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani