Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malengo mengine ya kuondoa umaskini yapitishwa

Viongozi wa mataifa na taasisi kubwa duniani wamepitisha Malengo 17 Endelevu (SDGs), ili kuondoa umaskini, kubadili mfumo wa maisha ya watu wa vijijini na kuilinda dunia dhidi ya mabadiliko ya tabianchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tunahitaji kubadilika ili kuondoa umaskini

Nakumbuka nilipokuwa bado kijana katika mkoa nilioishi kulikuwa na matajiri kadhaa ambao sisi tuliwaona wametuzidi.

 

11 years ago

Habarileo

Dk Nchimbi: Watendaji saidieni kuondoa umaskini

MKUU wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi amewataka watendaji kuwa na utayari wa kuwasaidia watu katika jamii wanazowajibika katika kutambua kiwango cha umaskini uliopo na namna ya kuuondoa.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanawake chachu kuondoa umaskini-Mizengo Pinda

Serikali imesema wanawake wa Tanzania watakuwa chachu ya taifa kuwa na uchumi wa ushindani utakaoondoa umaskini iwapo wataweza kutambua na kushiriki katika fursa zinazowazunguka kiuchumi.

 

10 years ago

Dewji Blog

JK ataka msaada ESRF kuondoa umaskini kwenye uchumi unaokua kwa kasi kubwa

DSC_0039

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Hoseana Lunogelo akisalimiana na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)  nchini , Alvaro Rodriguez nje ya ukumbi wa mikutano kabla ya mgeni rasmi kuwasili kwenye mkutano mkubwa wa tatu wa ESRF unaozungumzia ukuaji wa uchumi kwa kutumia fursa zilizopo na maendeleo yanayogusa jamii uliofanyika jana jijini Dar katika hoteli ya Hyatt Regency,...

 

10 years ago

GPL

JK ATAKA MSAADA ESRF KUONDOA UMASKINI KWENYE UCHUMI UNAOKUA KWA KASI KUBWA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Hoseana Lunogelo akisalimiana na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini , Alvaro Rodriguez nje ya ukumbi wa mikutano kabla ya mgeni rasmi kuwasili kwenye mkutano mkubwa wa tatu wa ESRF unaozungumzia ukuaji wa uchumi kwa kutumia fursa zilizopo na maendeleo yanayogusa jamii...

 

10 years ago

BBCSwahili

Katiba inayopendekezwa yapitishwa TZ

Bunge maalumu la Katiba nchini Tanzania limepitisha rasimu ya katiba iliyopendekezwa, baada ya wajumbe wengi kuikubali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sheria ya ajira za wageni TZ yapitishwa

Bunge la Tanzania limepitisha mswada wa sheria ya udhibiti wa ajira za wageni wa mwaka 2014

 

11 years ago

Michuzi

MAPENDEKEZO YA MAREKEBISHO YA KATIBA YA CUF YAPITISHWA

Na Hassan Hamad (OMKR). Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CUF Taifa wamepitisha mapendekezo mbali mbali yaliyowasilishwa na Baraza Kuu la uongozi la chama hicho kuhusu marekebisho ya baadhi ya vipengele vya katiba ya chama hicho. Katika mkutano mkuu wa chama hicho unaoendelea kwa siku ya tatu katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam, wajumbe hao pamoja na mambo mengine wamekubaliana kuwa mkutano mkuu wa chama hicho ufanyike mara moja katika kipindi cha miaka mitano badala ya miaka miwili na...

 

10 years ago

Mwananchi

Bajeti ya Wizara ya Kilimo na Chakula yapitishwa na wabunge 68

 Ni wabunge 68 tu, wakiwamo mawaziri 10, waliokuwa ndani ya ukumbi wa Bunge wakati chombo hicho cha kutunga sheria kikipitisha bajeti ya Wizara ya Kilimo na Chakula, lakini uongozi umesema “hakuna tatizo”.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani