Dk Nchimbi: Watendaji saidieni kuondoa umaskini
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi amewataka watendaji kuwa na utayari wa kuwasaidia watu katika jamii wanazowajibika katika kutambua kiwango cha umaskini uliopo na namna ya kuuondoa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi16 Mar
Tunahitaji kubadilika ili kuondoa umaskini
9 years ago
Mwananchi28 Sep
Malengo mengine ya kuondoa umaskini yapitishwa
10 years ago
Mwananchi30 Aug
Wanawake chachu kuondoa umaskini-Mizengo Pinda
10 years ago
Dewji Blog12 Sep
JK ataka msaada ESRF kuondoa umaskini kwenye uchumi unaokua kwa kasi kubwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Hoseana Lunogelo akisalimiana na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini , Alvaro Rodriguez nje ya ukumbi wa mikutano kabla ya mgeni rasmi kuwasili kwenye mkutano mkubwa wa tatu wa ESRF unaozungumzia ukuaji wa uchumi kwa kutumia fursa zilizopo na maendeleo yanayogusa jamii uliofanyika jana jijini Dar katika hoteli ya Hyatt Regency,...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/DSC_00391.jpg?width=650)
JK ATAKA MSAADA ESRF KUONDOA UMASKINI KWENYE UCHUMI UNAOKUA KWA KASI KUBWA
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
‘Saidieni waliokumbwa na kimbunga Mbarali’
WAZAWA wa Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, wameombwa kujitokeza kusaidia familia 86 zilizopo eneo la Manienga ambazo hazina makazi kutokana na nyumba zao kuezuliwa na kimbunga. Tukio hilo lililoezua nyumba...
11 years ago
Habarileo11 Mar
Sumaye- Watunzi saidieni kulinda ndoa
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amewataka Watanzania wenye uwezo wa kuandika vitabu, kujitokeza na kuandika vitabu vitakavyosaidia kuipeleka jamii ya Watanzania mahala stahiki na kulinda maisha ya ndoa.
10 years ago
Habarileo20 Oct
‘Saidieni wake zenu kupeleka watoto chanjo’
WANAUME wametakiwa kuwasaidia wake zao kupeleka watoto katika vituo vilivyochaguliwa kutolea chanjo ya surua na rubella ili kuhakikisha watoto wote wanapatiwa chanjo hiyo.
9 years ago
Raia Mwema25 Nov
Safu ya walimu Ikulu: Saidieni kuitoa sekta ya elimu ICU
YAPATA wiki sasa tangu sura ya uongozi wa juu wa serikali ya awamu ya tano ikamilike baada ya kup
Mwandishi Wetu