MAPENDEKEZO YA MAREKEBISHO YA KATIBA YA CUF YAPITISHWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-Uf2ss_Zu0vo/U6qWiLyVsGI/AAAAAAAFs48/bEVDZ81zPWc/s72-c/unnamed+(19).jpg)
Na Hassan Hamad (OMKR). Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CUF Taifa wamepitisha mapendekezo mbali mbali yaliyowasilishwa na Baraza Kuu la uongozi la chama hicho kuhusu marekebisho ya baadhi ya vipengele vya katiba ya chama hicho. Katika mkutano mkuu wa chama hicho unaoendelea kwa siku ya tatu katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam, wajumbe hao pamoja na mambo mengine wamekubaliana kuwa mkutano mkuu wa chama hicho ufanyike mara moja katika kipindi cha miaka mitano badala ya miaka miwili na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili02 Oct
Katiba inayopendekezwa yapitishwa TZ
10 years ago
Habarileo13 Mar
Muswada wa makandarasi ufanyiwe marekebisho -CUF
MWAKILISHI wa jimbo la Ole kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Hamad Masoud ameitaka Wizara ya Ardhi, Makazi, Maji na Nishati kuifanyia marekebisho miswada mitatu iliopo chini ya Wizara hiyo.
11 years ago
Uhuru Newspaper25 Jun
Wajumbe CUF wagomea mapendekezo ya Seif
NA RABIA BAKARI
ZAIDI ya asilimia 85 ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CUF, wamekataa pendekezo la kutaka kuongezwa madaraka kwa upande wa mikoa.
Pendekezo hilo lilitolewa na Katibu Mkuu aliyejiuzulu kupisha uchaguzi uliofanyika jana, Maalim Seif Shariff Hamad, lilikataliwa na wajumbe hao kwa madai itakuwa mzigo mzito kwa chama.
Kutokana na hali hiyo, CUF haitakuwa na muundo unaofanana na vyama vingine ikiwemo CHADEMA na NCCR-Mageuzi, ambavyo vyenyewe vina uongozi kwa ngazi ya mkoa, na hivyo...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/90CXu9YQeFE/default.jpg)
9 years ago
BBCSwahili19 Dec
Wanyarwanda waidhinisha marekebisho ya katiba
10 years ago
Habarileo29 Sep
Mjumbe ataka marekebisho Bunge la Katiba
SIKU chache baada ya Bunge Maalumu la Katiba (BMK) kupokea rasimu ya Katiba mpya iliyopendekezwa, mmoja wa wajumbe wa bunge hilo anayetoka kundi la 201, John Ndumbaro ameibukia mjini hapa na kutaka vipengele kadhaa vifanyiwe marekebisho.
9 years ago
BBCSwahili27 Oct
Marekebisho ya katiba yaidhinishwa Congo-Brazzaville
11 years ago
GPLSIMBA YAPITISHA MAREKEBISHO YA KATIBA MPYA
10 years ago
BBCSwahili16 Dec
Mapendekezo ya katiba yapishwa:Uganda