Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajumbe CUF wagomea mapendekezo ya Seif


NA RABIA BAKARI
ZAIDI ya asilimia 85 ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu  wa CUF, wamekataa pendekezo la kutaka kuongezwa madaraka kwa upande wa mikoa.
Pendekezo hilo lilitolewa na Katibu Mkuu aliyejiuzulu kupisha uchaguzi uliofanyika jana, Maalim Seif Shariff Hamad, lilikataliwa na wajumbe hao kwa madai itakuwa mzigo mzito kwa  chama.
Kutokana na hali hiyo, CUF haitakuwa na muundo unaofanana na vyama vingine ikiwemo CHADEMA na NCCR-Mageuzi, ambavyo vyenyewe vina uongozi kwa ngazi ya mkoa, na hivyo...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAPENDEKEZO YA MAREKEBISHO YA KATIBA YA CUF YAPITISHWA

Na Hassan Hamad (OMKR). Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CUF Taifa wamepitisha mapendekezo mbali mbali yaliyowasilishwa na Baraza Kuu la uongozi la chama hicho kuhusu marekebisho ya baadhi ya vipengele vya katiba ya chama hicho. Katika mkutano mkuu wa chama hicho unaoendelea kwa siku ya tatu katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam, wajumbe hao pamoja na mambo mengine wamekubaliana kuwa mkutano mkuu wa chama hicho ufanyike mara moja katika kipindi cha miaka mitano badala ya miaka miwili na...

 

11 years ago

Michuzi

Wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi CUF wakutana

 Wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi CUF wakiwa katika picha ya pamoja katika makao makuu ya chama hicho Buguruni jiji i Dar es Salaam Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba na Katibu Mkuu Maalim Seif wakisalimiana na wajumbe baada ya picha ya pamoja

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AZUNGUMUZA NA WAZEE CUF

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wazee wa CUF katika ukumbi wa salama hoteli ya Bwawani.Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wazee wa CUF katika ukumbi wa salama hoteli ya Bwawani.Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Mhe. Nassor Mazrui, akizungumza na wazee wa CUF katika ukumbi wa salama hoteli ya Bwawani.Baadhi ya wazee wa CUF wa Wilaya sita za Unguja waliohudhuria mkutano huo (picha na Hassan Hamad, OMKR)

 

11 years ago

Habarileo

Maalim Seif aita washindani CUF

 Maalim Seif Sharif HamadKATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amerejesha fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho, na kusisitiza msimamo wake wa kuendelea kuwaunganisha Wazanzibari.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanachama 34 CUF wawakataa Seif, Lipumba

>Wanachama 34 wa Chama cha Wananchi (CUF), wamepiga kura za kuwakataa Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba na Katibu Mkuu wake, Maalim Seif Sharif Hamad.

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AZUNGUMZA NA WAZEE WA CUF

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wazee wa chama hicho (hawapo pichani) katika ukumbi wa salama hoteli ya Bwawani,Mjini Unguja,Zanzibar. Baadhi ya wazee wa CUF wa Wilaya sita za Unguja waliohudhuria mkutano huo (picha na Hassan Hamad, OMKR)

 

9 years ago

Mwananchi

CUF yamkana Balozi Seif Iddi

Chama cha Wananchi CUF kimemkana Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi kikieleza kuwa msimamo wake wa kukataa kurudiwa kwa uchaguzi visiwani humo uko palepale.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maalim Seif ajivunia mafanikio CUF

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema mafanikio na changamoto katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, viwe vitendea kazi kwa uongozi mpya utakaopatikana baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani