Marekebisho ya katiba yaidhinishwa Congo-Brazzaville
Wapiga kura nchini Congo-Brazzaville wameidhinisha marekebisho ya katiba yanayomruhusu rais wa sasa kuwania kwa muhula wa tatu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi23 Oct
Intaneti zafungwa Congo Brazzaville
9 years ago
BBCSwahili20 Oct
Maandamano na milipuko yatikisa Congo Brazzaville
9 years ago
Mtanzania20 Nov
LeRoy ajiuzulu kuifundisha Congo Brazzaville
BRAZZAVILLE, CONGO
KOCHA raia wa nchini Ufaransa, Claude LeRoy, aliyekuwa mkufunzi wa kikosi cha timu ya taifa ya Congo Brazzaville, amejiuzulu kuifundisha timu hiyo.
LeRoy, mwenye umri wa miaka 67, aliuambia uongozi wa soka wa timu kwamba anatarajia kuacha kuifundisha timu hiyo kutokana na kubanwa na majukumu mengine.
Hivyo kocha huyo ameamua kufanya maamuzi hayo mara baada ya kuiongoza timu hiyo kuingia hatua ya makundi ya kusaka tiketi ya kombe la dunia baada ya kuifunga Ethiopia mabao...
9 years ago
BBCSwahili19 Dec
Wanyarwanda waidhinisha marekebisho ya katiba
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Uf2ss_Zu0vo/U6qWiLyVsGI/AAAAAAAFs48/bEVDZ81zPWc/s72-c/unnamed+(19).jpg)
MAPENDEKEZO YA MAREKEBISHO YA KATIBA YA CUF YAPITISHWA
11 years ago
GPLSIMBA YAPITISHA MAREKEBISHO YA KATIBA MPYA
10 years ago
Habarileo29 Sep
Mjumbe ataka marekebisho Bunge la Katiba
SIKU chache baada ya Bunge Maalumu la Katiba (BMK) kupokea rasimu ya Katiba mpya iliyopendekezwa, mmoja wa wajumbe wa bunge hilo anayetoka kundi la 201, John Ndumbaro ameibukia mjini hapa na kutaka vipengele kadhaa vifanyiwe marekebisho.
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Bongo Movie wafanyie marekebisho katiba yao
KATIBA ni sheria au kanuni zinazoainisha namna nchi, chama, shirika au taasisi itakavyoendesha shughuli zake kulingana na maudhui ya uwepo wake. Kwa upande wa nchi, katiba ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya...
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Kura ya maoni marekebisho ya katiba Rwanda yaanza
Raia wa Rwanda akipiga kura ya maoni.
Wananchi wakiwa kwenye foleni wakisubiri zamu yao ya kupiga kura iwadie.
…wakisikiliza moja ya midahalo nchini humo.
Raia wa Rwanda wameanza kufika vituoni kushiriki kwenye kura ya maoni ya marekebisho ya katiba, ambayo yakiidhinishwa yatamruhusu Rais Paul Kagame kuwania urais kwa muhula wa tatu.
Vituo vya kupigia kura vilifunguliwa asubuhi na mapema, huku watu 6 milioni wakitarajiwa kupiga kura. Bw Kagame anatarajiwa kupiga kura katika kituo cha...