Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Intaneti zafungwa Congo Brazzaville

Serikali ya Congo Brazzaville imesitisha huduma za mtandao na kufunga mawimbi ya redio ya Kimataifa ya Ufaransa (RFI) nchini humo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

LeRoy ajiuzulu kuifundisha Congo Brazzaville

Claude-Leroy-talks141015BBP720BRAZZAVILLE, CONGO

KOCHA raia wa nchini Ufaransa, Claude LeRoy, aliyekuwa mkufunzi wa kikosi cha timu ya taifa ya Congo Brazzaville, amejiuzulu kuifundisha timu hiyo.

LeRoy, mwenye umri wa miaka 67, aliuambia uongozi wa soka wa timu kwamba anatarajia kuacha kuifundisha timu hiyo kutokana na kubanwa na majukumu mengine.

Hivyo kocha huyo ameamua kufanya maamuzi hayo mara baada ya kuiongoza timu hiyo kuingia hatua ya makundi ya kusaka tiketi ya kombe la dunia baada ya kuifunga Ethiopia mabao...

 

9 years ago

BBCSwahili

Marekebisho ya katiba yaidhinishwa Congo-Brazzaville

Wapiga kura nchini Congo-Brazzaville wameidhinisha marekebisho ya katiba yanayomruhusu rais wa sasa kuwania kwa muhula wa tatu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Maandamano na milipuko yatikisa Congo Brazzaville

Milipuko imesikika katika mji mkuu wa Congo, Brazzaville, kufuatia maandamano makubwa yaliyoitishwa kupinga rais Sassou Nguesso kuwania muhula wa tatu.

 

9 years ago

Mwananchi

Twiga Stars yaanza vibaya Brazzaville

Timu ya Taifa ya wanawake ya Tanzania imekubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Ivory Coast katika mchezo wa kwanza wa shindano ya Afrika ‘All Africa Games’ yanayoendelea mjini Brazzaville, Congo .

 

9 years ago

TheCitizen

Twiga Stars, swimmers off to Brazzaville for Africa Games

The second batch of Team Tanzania for the All Africa Games departs for Congo-Brazzaville today.

 

9 years ago

Vijimambo

Twiga Stars uwanjani Kongo Brazzaville leo

Timu ya soka ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) inatarajia kutupa karata yake ya kwanza leo katika Michezo ya Afrika kwa kuwakabili Ivory Coast kwenye Uwanja wa Del Debate nchini Kongo Brazzaville.

Akizungumza na Nipashe kwa njia ya simu kutoka Kongo Brazzaville, Mkuu wa Msafara wa timu hiyo, Blassy Kiondo, alisema kuwa wachezaji walifanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo huo jana asubuhi na wote wanaendelea vizuri.

Kiondo alisema kuwa mchezo huo unatarajiwa kufanyika kuanzia saa 11 jioni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Congo DR yaitia adabu Congo Brazaville

DR Congo ilitoka nyuma na kuishinda Congo kwa mabao 4-2 na kufika katika semi fainali ya mechi za kombe la Afrika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Garissa:Redio 2 zafungwa Somalia.

Somalia imevifunga vituo 2 vya redio baada ya kutangaza habari za wapiganaji wa Al-shabaab kuhusu shambulio la Garissa kenya

 

10 years ago

Habarileo

Mashine za kisasa za ebola zafungwa

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa, Cosmas MwaifwaniKATIKA jitihada za Serikali kuimarisha mifumo ya kukinga taifa na maambukizi ya virusi hatari vya homa ya ebola, mashine mpya sita za kisasa zaidi za kukagua wageni wote wanaofika nchini kupitia usafiri wa anga, zimewasili nchini na tayari zimefungwa katika viwanja vikubwa vya ndege.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani