Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mali:Kuwashtaki wazazi wa watoto watoro

Mali imesema inapanga kuwashitaki wazazi ambao wanawasafirisha watoto wao wadogo kwenda Ulaya kama wahamiaji,

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Wazazi wenye watoto ambao wanatatizo la Usonji watakiwa kuwapenda watoto hao

Mama-Salma-Kikwete

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete.

Na Anna Nkinda – Maelezo

 Wazazi wenye watoto ambao wanatatizo la usonji (Autism) nchini wametakiwa kuwapenda, kuwatunza  na kuwapa mahitaji yao kama watoto wengine kwani ni makusudi na mapenzi ya Mwenyezi Mungu kuwapa watoto hao.

Mwito huo umetolewa leo na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete wakati akiongea na walimu, walezi na wazazi wa watoto hao katika Shule ya Msingi...

 

5 years ago

Michuzi

WAZAZI WENYE WATOTO MAHITAJI MAALUM WAASWA KUWAPELEKA SHULE WATOTO WAO BADALA YA KUKAA NAO NYUMBANI

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tandahimba Hadija Mwinuka ametoa wito kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum wawapeleke shule badala ya kukaa nao nyumbani na kuwafungia

Ameyasema hayo wakati akitoa vifaa mbalimbali vilivyotolewa na wanawake viongozi wa Elimu Wilaya ya Tandahimba kwenye shule maalum mjimpya

Mwinuka ameeleza kuwa shule hiyo ni bweni hivyo wanapokea watoto wakike na wakiume  wananchi waache kuwafungia ndani badala yake wawapeleke wakapate elimu mbalimbali...

 

9 years ago

Mwananchi

Wazazi wakiamua watoto watafanikiwa

Shule ya kwanza ya mtoto ni mzazi au mlezi. Ushauri, maagizo na falsafa ya mzazi, huamua mwelekeo wa mtoto kimasomo na kimaisha.

 

10 years ago

Mwananchi

Wazazi wanachangia watoto kufeli

Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita Tanzania imekuwa na rekodi nzuri ya kupanua wigo wa elimu kuanzia idadi ya wanafunzi, walimu na miundombinu.

 

9 years ago

Global Publishers

Wazazi mnaowachagulia watoto wenza mnawayumbisha

smiling-couple_0620131146361Habari za mwaka mpya wapenzi wasomaji wangu? Mimi nimefika salama namshukuru Mungu. Kwa wale wagonjwa poleni, kwa walioondokewa na wapendwa wao poleni pia Mungu awape nguvu.

Baada ya hayo twende kwenye mada yetu moja kwa moja inayowahusu wazazi kwa ujumla, watoto tulionao sasa ni kizazi kingine kabisa si kama chetu ambapo kijana alipotaka kuoa ilikuwa lazima mzazi amkubali binti husika.

Mada hii nimeipata kwa msomaji mmoja anayeishi mkoani aliyenipigia simu na kuniambia kuwa mama yake mzazi...

 

10 years ago

Habarileo

Wazazi wahimizwa kufuatilia watoto wao

WAZAZI wametakiwa kufuatilia nyendo za watoto ili kudhibiti kuporomoka kwa maadili kunakosababishwa na utandawazi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wazazi wahamasishwa kupeleka watoto seminari

WAZAZI na walezi mkoani hapa, wametakiwa kupeleka watoto wao kwenye shule za seminari ili waweze kupata elimu bora na maadili yatakayowasaidia katika maisha yao. Wito huo umetolewa hivi karibuni mkoani...

 

10 years ago

Mwananchi

Wazazi tuzitathmini shule za watoto wetu

Naomba kwanza niwatakie heri ya sikukuu ya Krismasi na maandalizi mema ya kuupokea mwaka ujao wa 2015 kwa wote watakaobahatika kuufikia. Tumwombe Mungu mwenye kuumiliki uhai wetu atupe upendeo wa kuufikia mwaka huo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yaacha watoto bila wazazi

Ebola ni janga kubwa nchini Guinea, Liberia na Sierra Leone, ambako zaidi ya watoto 4,000 wameachwa bila wazazi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani