Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Malkia wa Kombe la Muungano Timu ya Uhamiaji Yaitungua JKU Kwa 38-- 25

 Mchezaji wa Timu ya JKU Rose Israel (WA) na Uhamiaji Sofia Komba (C) wakiwania mpira wakasti wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano iliofanyika katika uwanja wa Gmykhana Zanzibar Timu ya Uhamiaji imeshinda kwa mabao 38--25.Mchezaji wa Timu ya JKU Dawa Haji (GA) akijiandaa kudaka mpira huku mlizi wa Timu ya Uhaniaji Kachilika Joana (GD) akijiandaa kumzuiya katika mchezo huo.Timu ya Uhamiaji imeshinda 38--25  Wachezaji wa Timu ya Uhamiaji Skozi Jackline (WA) na JKU Ashura Ramadhani (WD) 

BOFYA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Timu ya Zanzibar Diaspora USA Yanyakua Kombe la Muungano Washington DC, Kwa Ushindi wa Mabao 7-1 dhidhi ya Tanganyika

Katika shamrashamra za kusherehekea Miaka 51 kuungana Tanganyika na Zanzibar na kuwa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Timu ya Zanzibar Diaspora​ nchini Marekani imeifunga bao jirani zake timu ya Tanganyika USA bao 7-1. Kikosi cha timu ya Tanganyika Tanganyika na Zanzibar kama ishara ya Muungano

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA KILUVYA UNITED YAITUNGUA AFRICAN LYON KWA MABAO 2-1 LIGI DARAJA LA KWANZA

NA VICTOR MASANGU.KIVUMBI cha ligi daraja la kwanza (FDL) kwa msimu wa mwaka 2015-2016 kinazidi kushika kasi ambapo timu ya Kiluvya United (Wabishi wa Pwani) jana iliweza kuifunga timu ya African Lyon kwa mabao 2-1 katika mchezo uliopingwa katika uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam.
Katika mchezo huo wa Kundi 'A' ulikuwa na upinzani wa hali ya juu kutokana na kila timu kucheza kufa na kupona kwa lengo la kuweza kuibuka na ushindi na kujinyakulia pointi tatau muhimu ili iweze kujiwekea...

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA MUCOBA FC MABINGWA WA FAINALI YA KOMBE LA MUUNGANO MUFINDI 2015,MRATIBU ATANGAZA KUSTAAFU RASMI

Mkuu  wa  wilaya ya Mufindi Mboni Mhita katikati  akiwa katika picha ya pamoja na   mabingwa wa mashindano ya  kombe la Muungano Mufindi timu ya Mucoba Fc ,wa kwanza kulia ni mratibu wa mashindano hayo aliyestaafu rasmi Daud Yassin na mdau mkubwa wa  soka mkoa wa Iringa Feisal AsasMkuu wa wilaya ya  Mufindi Mboni Mhita  akikabidhi kombe kwa mabingwa  timu ya MUcoba FC

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA NAYO OUT KOMBE LA MAPINDUZI YAPIGWA 1-0 NA JKU

Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe, akiwa chini akijilaumu baada ya kukosa bao la wazi katika mchezo wa Robo fainali ya Kombe la Mapinduzi uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Aman mjini Zanzibar. Katika mchezo huo JKU ilishinda kwa bao 1-0 lililofungwa na Amour Omary katika dakika ya 72.Kwa matokeo hayo sasa Yanga ni timu ya tatu kuaga mashindano hayo ikiungana na Azam Fc, iliyofungwa na Mtibwa Sugar na Kcc iliyofungwa na Polisi, ambapo sasa JKU itakutana na Mtibwa Sugar katika hatua ya...

 

11 years ago

Michuzi

KAGASHEKI CUP 2014: TIMU YA KAGONDO YAITUNGUA BUHEMBE FC BAO 1-0

Na Faustine Ruta, Bukoba. Timu ya Kagondo FC imejipatia Alama tatu muhimu kwenye Mtanange wao dhidi ya timu ya Buhembe FC leo kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini kwenye Michuano ya Kombe la Kagasheki. Bao hilo la pekee lilifungwa na Mchezaji namba tisa Mgongoni Abduratif Khamis katika kipindi cha kwanza dakika 37.  Kipindi cha kwanza kilimalizika kwa bao hilo 1-0 na kipindi cha pili timu zote mbili hakuna iliyoziona nyavu za mwezake timu licha ya kushambuliana mara kwa mara. Mwamuzi...

 

10 years ago

Mwananchi

Kombe la Kagame darasa tosha kwa timu zetu

>Mashindano ya mwaka huu ya Kombe la Kagame ambayo yamekuwa yakiendelea katika ardhi ya Tanzania yameingia hatua ya robo fainali.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kombe la dunia:Timu 3 za Afrika zashindwa

Timu tatu kutoka Afrika ziliambulia kichapo katika kombe la dunia la mpira wa pete

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani