Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA ALIYEVIMBA TUMBO AFARIKI DUNIA

Stori: haruni sanchawa
YULE mwanamke aliyejulikana kwa jina la Mariam Manyata (57) ambaye aliandikwa kwenye gazeti hili  Toleo  Na. 838, Aprili 15  hadi  21, mwaka huu ukurasa wa 15 kwa kichwa cha habari HUU SI  UJAUZITO JAMANI, TUMBO  LIMEJAA MAJI, amefariki dunia. Mariam Manyata enzi za uhai wake. Mwanamke huyo (pichani) alifariki  dunia Mei 5, mwaka huu  katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jengo la...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mama mzazi wa Zitto afariki dunia

MAMA mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, Shida Salum, amefariki dunia baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na maradhi ya saratani.

 

11 years ago

GPL

MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE AFARIKI DUNIA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Zuberi Kabwe, Bi. Shida wakati alipokuwa amelazwa ICU katika Hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam hivi karibuni. MAMA mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, Bi. Shida amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya AMI jijini Dar es… ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mama mzazi wa Mh. Zitto Kabwe afariki dunia

SAM_2464

Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, asubui hii amefiwa na mama yake mzazi Bi Shida Salum, aliyeugua kwa muda mrefu.

Pichani ni Mama mzazi wa Zitto Kabwe enzi za uhai wake.

Taarifa ya msiba huu imethibitishwa na yeye mwenye Zitto Kabwe kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter kama inavyosomeka hapo chini.

1401611667127

MO BLOG tunatoa pole kwa Zitto Kabwe, familia na wote walioguswa na msiba huu Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.

 

10 years ago

GPL

Q-CHILLAH AHAMAHAMA SHULE, MAMA YAKE AFARIKI DUNIA

Nguli wa Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ alipokuwa akihojiwa ndani ya studio za Global TV Online Agosti mwaka huu. “NIKILALA naota, naota kama unaniita, ila nafsi inasita mpenzi ipo siku nitaitika. Nikilala naota taah! Naota kama unaniita taah! Ila nafsi inasiiiita mpenzi ipo siku itaitikaa,” hiyo ni baadhi ya mistari iliyopo katika Wimbo wa Nikilala Naota wa ‘vokolist’ wa Bongo...

 

9 years ago

GPL

TANZIA: MAMA MZAZI WA DOGO ASLAY AFARIKI DUNIA

Mama mzazi wa ‘Dogo Aslay’,  Moza Mohamed enzi za uhai wake. Mwimbaji wa Yamoto Band, Aslay Isihack ‘Dogo Aslay’ aliyefiwa na mama yake mzazi. Mama mzazi wa muimbaji wa Yamoto Band, Aslay Isihack ‘Dogo Aslay’, Moza Mohamed amefariki leo alfajiri katika Hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam alimokuwa amelazwa. Akizungumza na mwandishi wetu, Meneja wa Yamoto Band, Said Fella...

 

11 years ago

Michuzi

mama mzazi wa mwanalibeneke Kazikupenda "KK" Chale afariki dunia leo

Mdau Kazikupenda Kk Chale anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Bi.Fides Chale (pichanii) kilichotokeo ghafla leo huko Nyumbani kwake Ubungo Msewe. Mipango ya mazishi inaendelea nyumbani kwa mwanae, Ubungo-Msewe, Dar. Maziko yanatarajia kufanyika Dar. Taarifa zaidi zitotelewa baadae. Bwana ametoa, Bwana ametwaa 
jina la Bwana Lihimidiwe - Amen

KK anaendesha blog ya Tembea Tanzania BOFYA HAPA

 

5 years ago

CCM Blog

BREAKING NEWS: MCHUNGAJI MAMA GERTRUDE RWAKATARE AFARIKI DUNIA

Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto, Askofu Gertrude Rwakatare amefariki dunia alfajiri ya leo ya Aprili 20, 2020.

Mtoto wake Muta Rwakatare amethibitisha.
Taarifa zaidi tutawaletea kadri tutakavyoendelea kupata taarifa.

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA: MAMA MZAZI WA SAID MDOE WA SALUTI5 AFARIKI DUNIA

MAMA mzazi wa mmiliki wa mtandao wa Saluti5, Said Mode - Bi Desta Mohamed - amefariki ghafla Jumatatu ya tarehe 31/3/2014 saa 1 za jioni.
 Alipata homa kali Jumapili mchana, akapelekwa hospitali (IMTU) akapata matibabu na kuruhusiwa kurudi nyumbani. Hali yake haikuwa mbaya wala ya kutia mashaka.
 Jumatatu akaamka vizuri na akashinda vizuri hadi saa 12 za jioni hali ipoanza kubadilika tena. Akafariki akiwa njiani kupelekwa hospitali. Msiba uko Dar es Salaam, Mbezi Beach Old...

 

10 years ago

GPL

WA 3 WALIOFUNGIWA NDANI MIAKA 10 NA MAMA YAO MMOJA AFARIKI DUNIA

Na Haruni Sanchawa
Katika Gazeti la Uwazi Toleo Na. 893 wiki iliyopita, kuliandikwa habari ya kusikitisha yenye kichwa kisemacho; MAMA AWAFUNGIA NDANI WANAYE 3 KWA MIAKA 10. Ni habari ambayo ilizua gumzo kubwa nchini kutokana na mazingira yake kuwa ya kushtua. Marehemu Ally Juma enzi za uhai wake. Baada ya habari hiyo kutoka ambayo ilikuwa na lengo la kuisaidia familia hiyo, sasa habari mpya ni kwamba, mmoja wa watoto hao,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani