MAMA ANASWA KWA KUMPA KAZI NZITO MTOTO
![](http://api.ning.com:80/files/4MXCALxsrL2IX8ND1URTb5JFhEH9gd9MPmA6fDdTOhD1j15G64LOKdxA4DuP1I6rhX5hy*Q*9sHmvCfZjGBsyeqLWRgmukE7/MAMA.jpg?width=650)
Chande Abdallah na Gladness Mallya MAMA mmoja maarufu kwa jina la mama Mpare (pichani), mkazi wa Kimara King’ongo jijini Dar es Salaam amenaswa kwa kosa la kumfanyisha mwanaye kazi nzito zisizoendana na umri wake wa miaka 13 (picha ndogo). Mama mmoja maarufu kwa jina la mama Mpare (pichani), mkazi wa Kimara King’ongo jijini Dar es Salaam aliyenaswa kwa kosa la kumtumikisha mwanaye wa miaka 13 kazi nzito. ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo510 Dec
Daktari Bingwa adaiwa kumpa Diamond mamilioni kwa kazi hii
![12346294_1699335430289433_1328544037_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12346294_1699335430289433_1328544037_n-300x194.jpg)
Ile kauli ‘fedha huenda kwa wenye nazo’ haikukosewa sababu huo ndio ukweli.
Si kawaida kwa wasanii wa Tanzania kulipwa fedha wakati wanapokuwa wakiachia single zao lakini sio kwa Diamond.
Wakati ambapo mashabiki wake wanasubiria kwa hamu wimbo wake mpya Utanipenda! unaotoka Ijumaa hii, imebainika kuwa daktari bingwa wa magonjwa ya uzazi, Dr Mwaka amemmwagia Diamond mamilioni ya fedha ili kuitangaza kliniki yake iliyopo Ilala Bungoni.
Taarifa hizo zinadai kuwa hiyo ni sababu pia Diamond...
9 years ago
Global Publishers06 Jan
mtoto wa kajala akerwa na kazi ya mama yake
Mtoto wa muigizaji wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja aitwaye Paula.
Na Imelda Mtema
MTOTO wa muigizaji wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja aitwaye Paula, ametoa mpya baada ya kudai kuwa havutiwi na sanaa anayofanya mama yake, isipokuwa anapenda zaidi uanamitindo.
Akizungumza na gazeti hili, mtoto huyo alisema anavutiwa zaidi na Hamisa Mobeto, ambaye licha ya kuigiza, lakini anatumia sehemu kubwa ya muda wake kufanya uanamitindo, kitu ambacho ni ndoto yake.
“Mimi sijawahi kuvutiwa na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfh3NBVsIRluOPvouTTg2Bn5NXivk9dMWaR9rqvSBUn4Kx9lWSPLwzf4o6kW2EpMBTKRBlGw27M*z4hfYIQC-fNz/aibu.jpg)
AIBU NZITO MBOMGO FLEVA ANASWA AKIVUNJA AMRI YA SITA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dnCWvahr*CrqcuZV2*cnsG-*dgcGQtrkNM7lnXEDt07bXAgH*S00JduXB9DqV6htitv6PrHfZo58d7ZbXeQZ-qJEvSW4wtyM/wema.jpg)
KAN'TANGAZE: MAMA'KE DIAMOND ANASWA NYUMBANI KWA WEMA
9 years ago
Bongo Movies24 Dec
Zamaradi Kumpa ‘Scene’ Mama Diamond
Kufuatia uwezo mkubwa aliouonyesha Mama mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinum, Sanura Kasim kwenye kipande cha video ya wimbo mpya wa diamond , utanimpenda ambapo mama huyo ameigiza kwa kuuvaa uhusika wa mama mwenye maisha magumu ambaye anatafuta msaada akiwa na mtoto mgongoni kitu ambacho kimeshika hisia za watazamaji wengi na wengi kumuona kama ni mama mwenye uwezo mkubwa wakuigiza, mmoja wapo ni mtangazaji na muuandaaji wa filamu hapa Bongo, Zamaradi Mtetema ambaye amekiona...