Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mama asha bilali afungua Tamasha la mwanamke na akiba leo Dar Live, Mbagala

 Mkurugenzi  Mkuu wa Angles Moments  Naima Malima  akisoma risala ya kumkaribisha mgeni rasmi Mke wa Makamo wa Rais, Mama Asha Bilali katika ufunguzi wa  tamasha la Mwanawake weka akiba litakalofanyika kwa siku tatu katika viwanja vya Dar live Mbagala.   Mke wa makamu wa Rais Mama Asha Bilali ambaye alikuwa mgeni rasmi wa Tamasha la   Mwanawake weka akiba, akisoma hotuba  ya ufungunzi wa tamasha hilo,leo jijini Dar es salaam katika viwanja vya Dar live Mbagala.  Mke wa Waziri Mkuu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

PPF YAANDIKISHA WANACHAMA WAPYA KATIKA TAMASHA LA MWANAMKE NA AKIBA LINALOENDELEA KUFANYIKA KATIKA UKUMBI WA DAR LIVE

Mama Asha Bilali akimkabidhi Cheti Cha Udhamini kwa Meneja Mahusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF katika tamasha la wanawake na akiba linaloendelea kufanyika Katika ukumbi wa Dar Live wilaya ya Temeke ,Jijini Dar Es Salaam. Meneja mahusiano na Masoko wa mfuko wa pensheni wa PPF Bi Lulu Mengele akitoa hotuba fupi kwa washiriki waliohudhuria tamasha la wanawake na akiba ambapo PPF ilishiriki ili kuweza kutoa elimu kwa Washiriki kuweza kujua umuhimu wa kuchangia na mfuko wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Juma Nature na wenzake kuiteka Dar katika tamasha la “Komaa” litakalofanyika jumamosi ukumbi wa Dar Live Mbagala

Msanii Juma Nature ‘Kiroboto’ akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu tamasha kubwa la kuadhimisha miaka 16 ya kazi zake za muziki nchini  pamoja na hitimisho la sherehe za mwaka mmoja za Kituo cha Redio cha EFM linalofahamika kwa jina la Komaa Concert litakalofanyika kwa mara ya kwanza Jumamosi Ukumbi wa Dar Live Mbagala kuanzia saa 12 jioni. Kushoto ni  Mkurugenzi wa Idara ya Mahusiano na Mawasiliano wa Kituo cha Redio cha EFM, Denis Ssebo,...

 

10 years ago

Vijimambo

JUMA NATURE NA WENZAKE KUITEKA DAR ES SALAAM KATIKA TAMASHA LA KOMAA LITAKALOFANYIKA JUMAMOSI UKUMBI WA DAR LIVE MBAGALA

Msanii Juma Nature 'Kiroboto' akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu tamasha kubwa la kuadhimisha miaka 16 ya kazi zake za muziki nchini  pamoja na hitimisho la sherehe za mwaka mmoja za Kituo cha Redio cha EFM linalofahamika kwa jina la Komaa Concert litakalofanyika kwa mara ya kwanza Jumamosi Ukumbi wa Dar Live Mbagala kuanzia saa 12 jioni. Kushoto ni  Mkurugenzi wa Idara ya Mahusiano na Mawasiliano wa Kituo cha Redio cha EFM, Denis Ssebo, ambao...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA ASHA BILAL AZINDUA OMO FASTACTION JIJINI DAR LEO

 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mama Asha Bilal akitoa hotuba yake wakati alipokuwa Mgeni Rasmi kwenye hafla ya Uzinduzi wa Sabuni ya kufulia ya OMO FastAction uliofanyika rasmi leo kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Unilever kwa Afrika Mashariki,Marc Engel akitoa hotuba yake wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Sabuni ya kufulia ya OMO FastAction uliofanyika rasmi leo kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Meneja ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mama Asha Bilal azindua “Omo Fast Action” jijini Dar leo

1

 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal akitoa hotuba yake wakati alipokuwa Mgeni Rasmi kwenye hafla ya Uzinduzi wa Sabuni ya kufulia ya OMO FastAction uliofanyika rasmi leo kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.

Kampuni ya Unilever Tanzania Limited, leo hii imezindua rasmi toleo jipya la sabuni yake ya kufulia ya Omo ambayo inaondoa madoa sugu haraka zaidi na kuacha nguo zikinukia vizuri. Sabuni hiyo mpya ya ‘Omo Fast Action’ imezinduliwa katika...

 

11 years ago

GPL

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA UWAMBA DAR LIVE LEO

Mama Salma Kikwete akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa Umoja wa Wanawake wa vikundi Mbagala (UWAMBA) katika Ukumbi wa Dar Live leo. Wanawake wa Mbagala wakimsikiliza kwa makini Mama…

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AFANYA MAJARIBIO DAR LIVE TAYARI KWA SHOO KALI YA TAMASHA LA WAFALME LEO USIKU

Msanii Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akifanya majaribio ya vifaa ndani ya jukwaa la Dar Live. Diamond Platnumz na madansa wake wakifanya maandalizi katika jukwaa la kupanda na kushuka la Dar…

 

11 years ago

GPL

DAR LIVE BONANZA LILIVYOTINGISHA MBAGALA JIJINI DAR

Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS) kutoka PSPF, Mwanjaa Sembe akikabidhi zawadi ya jezi kwa mwakilishi wa timu ya mpira wa miguu ya Wadau. Mjumbe wa UVCCM mkoa wa Dar es Salaam, Olivia Sanare akikabidhi zawadi ya jezi kwa niaba ya mgeni rasmi.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani