MAMA DIAMOND AREJEA KUTOKA INDIA, YUPO FITI
Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na mama yake Sanura Kassim. MUSA MATEJA/Amani HAKUNA neno linaloweza kusemwa kwa mara nyingine zaidi ya Mungu ni mwema! Kauli hiyo inakuja kwa mara nyingine baada ya mama mzazi wa Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim a.k.a Sandra kurejea nchini akiwa yupo fiti. Habari rasmi kutoka chanzo cha kuaminika zinaeleza kwamba, mama...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili26 Oct
Mwanamke ‘wa ajabu’ kutoka India arejea nyumbani
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Spika wa Bunge, Job Ndugai Arejea Kutoka India
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akilakiwa na Naibu Spika wa Bunge Mhe. Tulia Ackson mara baada ya kuwasili katika uwanja Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini India alikokuwa kwa ajili ya matibabu.Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Naibu Waziri wa Nishai na Madini Mhe. Medard Kalemani mara baada ya kuwasili katika uwanja Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini India alikokuwa kwa ajili ya matibabu....
9 years ago
Vijimambo11 years ago
BBCSwahili16 Jan
Gedo arejea Al Ahly kutoka Hull
10 years ago
Habarileo08 Sep
Shein arejea kutoka visiwa vya Samoa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, amerejea nchini leo kutoka visiwa vya Samoa ambako alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete, kwenye Mkutano wa Tatu wa Kimataifa kwa Nchi za Visiwa.