Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamke ‘wa ajabu’ kutoka India arejea nyumbani

Mwanamke kutoka India, aliyekwama Pakistan kwa mwongo mmoja bila kujulikana hasa alitoka eneo gani, amerejea nchini India.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAMA DIAMOND AREJEA KUTOKA INDIA, YUPO FITI

Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na mama yake Sanura Kassim.
MUSA MATEJA/Amani HAKUNA neno linaloweza kusemwa kwa mara nyingine zaidi ya Mungu ni mwema! Kauli hiyo inakuja kwa mara nyingine baada ya mama mzazi wa Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim a.k.a Sandra kurejea nchini akiwa yupo fiti. Habari rasmi kutoka chanzo cha kuaminika zinaeleza kwamba, mama...

 

9 years ago

Global Publishers

Spika wa Bunge, Job Ndugai Arejea Kutoka India

Ndugai (1)Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akilakiwa na Naibu Spika wa Bunge Mhe. Tulia Ackson mara baada ya kuwasili katika uwanja Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini India alikokuwa kwa ajili ya matibabu.Ndugai (2)Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Naibu Waziri wa Nishai na Madini Mhe. Medard Kalemani mara baada ya kuwasili katika uwanja Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini India alikokuwa kwa ajili ya matibabu....

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanamke kutoka India ‘akatwa mkono’ Saudia

Mwanamke mmoja aliyekuwa ameenda kufanya kazi Saudi Arabia amelazwa hospitalini baada ya kudaiwa kukatwa mkono na mwajiri wake.

 

10 years ago

GPL

PIERRE NKURUNZIZA AREJEA NYUMBANI

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza akirejea nchini mwake baada kushindikana kwa jaribio la mapinduzi dhidi ya serikali yake alipokuwa nchini Tanzania kuhudhuria kikao cha viongozi wa EAC. Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza amejerea nyumbani hapo jana, baada ya kuwepo kwa jaribio la kumpindua akiwa nchini Tanzania kuhudhuria kikao cha viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki waliokuwa wakijadili mgogoro wa Burundi. Maafisa wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Pierre Nkurunziza arejea nyumbani

Rais Pierre Nkurunziza amejerea nchini mwake, baada ya kuwepo kwa jaribio la kumpindua akiwa nchini Tanzania kwenye mkutano .

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri Mkuu wa Lesotho arejea nyumbani

Waziri mkuu wa Lesotho Thomas Thabane amewasili nchini mwake baada ya jaribio la kutaka kumpindua kutibuka.

 

9 years ago

BBCSwahili

Askofu Tutu hatimaye arejea nyumbani

Askofu Desmond Tutu ameruhusiwa kurejea nyumbani kutoka hospitalini ambako amekuwa akipokea matibabu kwa zaidi ya wiki mbili

 

11 years ago

Michuzi

JK arejea nyumbani baada ya ziara ya Uingereza na Ubelgiji

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki baada ya kuwasili leo April 4, 2014 katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Brussels, Ubelgiji, alikofanya ziara ya kikazi ya siku mbili na kuhudhuria mkutano wa mataifa ya Afrika na nchi za Jumuiya ya Ulaya. Kabla ya hapo Rais Kikwete alifanya zaiara ya kiserikali ya siku tatu nchini Uingereza kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe David Camaron. PICHA NA IKULU

 

11 years ago

GPL

MTOTO MWENYE GONJWA LA AJABU... ATUA INDIA

Stori: Gladness Mallya BAADA ya kuteseka kwa muda mrefu kwa ugonjwa wa ajabu kwenye miguu, hatimaye mtoto Hamis Hashim Liguya (13) ametua nchini India kwa ajili ya matibabu. Mtoto Hamis Hashim Liguya (13). Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar Jumamosi iliyopita, majira ya saa 6 mchana, ndugu, jamaa na wadau mbalimbali walifika kumsindikiza mtoto huyo aliyewasili India Jumapili iliyopita....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani