MAMA JANETH MAGUFULI AKONGA NYOYO ZA WATANZANIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-VFUKRz78mU0/Vf8D8yT0oYI/AAAAAAAH6Yk/exCuW7gHki4/s72-c/_MG_8020.jpg)
Mke wa Mgombea Urais wa CCM,Mama Janeth John Magufuli akiwasalimia wananchi wa Chato na kuwaomba ridhaa ya kumchagua mumewe Dkt John Pombe Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika awamu ya tano,kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa wa Oktoba 25 mwaka huu. Mara bada ya kuhutubia chumba chetu cha habari kilihemewa na simu za wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi kuelezea furaha yao sio tu kwa kumuona jukwaani bali pia kwa kuongea kwa kujiamini. Mama Magufuli amekuwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-VFUKRz78mU0/Vf8D8yT0oYI/AAAAAAAH6Yk/exCuW7gHki4/s72-c/_MG_8020.jpg)
Mama janeth magufuli akonga nyoyo za watanzania ndani na nje ya nchi
![](http://3.bp.blogspot.com/-VFUKRz78mU0/Vf8D8yT0oYI/AAAAAAAH6Yk/exCuW7gHki4/s640/_MG_8020.jpg)
10 years ago
VijimamboMHE.MTANDA AKONGA NYOYO ZA WATANZANIA SHEREHE YA UHURU MIAKA 53 CALIFORNIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-c1FlvvFOibw/VI7qhdZec4I/AAAAAAADR6c/g7GuT9HodDM/s1600/IMG_3429.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Vm5ime2aRVk/XlYIYQc_-tI/AAAAAAALffQ/2K01QB7AONIiTtLD5OjUe5gtZu7GqC_AgCLcBGAsYHQ/s72-c/a%2B%25281%2529.jpg)
RAIS DKT MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR ES SALAAM
![](https://1.bp.blogspot.com/-Vm5ime2aRVk/XlYIYQc_-tI/AAAAAAALffQ/2K01QB7AONIiTtLD5OjUe5gtZu7GqC_AgCLcBGAsYHQ/s640/a%2B%25281%2529.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-VEOX-2M4S2Y/XlYIYQ_F8nI/AAAAAAALffU/8UCHp98VZsEcoxcunYgWHsoFQnaXOiQEwCLcBGAsYHQ/s640/a%2B%25282%2529.jpg)
Makubi wakati wa Ibada ya Jumatano ya...
11 years ago
Habarileo23 Mar
JK akonga nyoyo za wasomi, wanasiasa
WASOMI, wanasiasa pamoja na viongozi mbalimbali vya dini wamepongeza hotuba iliyotolewa juzi na Rais Jakaya Kikwete wakati akizindua Bunge Maalum la Katiba huku wajumbe wa bunge hilo wakitakiwa kuzingatia maoni ya Rais wanapojadili Rasimu ya pili ya Katiba hiyo.
10 years ago
GPL2O PERCENT AIBUKIA MORO, AKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAKE!
10 years ago
GPLDC MAKONDA AKONGA NYOYO ZA MAMIA KATIKA SEMINA YA GWT
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_0397.jpg)
RAS INNOCENT NGANYAGWA AKONGA NYOYO ZA WANZIBARI TAMASHA LA ZIFF
11 years ago
Dewji Blog21 Jun
Ady Batista wa “The Thorn Of The Rose” akonga nyoyo za wapenzi wa sinema tamasha la ZIFF 2014
ADY de Batista (30).
ADY de Batista akisaidiwa kushuka kwenye gari na meneja wake Sholey Maqueta mara baada ya kuwasili kwenye viunga vya Ngome Kongwe visiwani Zanzibar. (Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
ADY de Batista alishuka taratibu katika gari la Noah, akiwa amevalia nguo nyeupe.Alisaidiwa kushuka kwenye gari na meneja wake Sholey Maqueta na kuingia katika ukumbi wa maonesho ya sinema wa wazi uliopo Ngome Kongwe kwa ajili ya sinema yake ya O...
11 years ago
Michuzi21 Jun
RAS INNOCENT NGANYAGWA AKONGA NYOYO ZA WAPENZI WA REGGAE KATIKA TAMASHA LA ZIFF 2014
![DSC_0397](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/UEFQpnVXBmPAoOQCeMNYTOVlx235ECv9OEWUFhkzBgOHPv0sNsuPMhqiUkl0xJDMJNJQdai8S4M1BlgiLbHZ4rpwGzvt17ekNbJNP291HhJFPw=s0-d-e1-ft#http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_0397.jpg)
![DSC_0438](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/Aj1rvhw5jWLcTaxoW_MMpMLgoe9PpQvHU6rqV_NG3Tsli330ftRaEl3jfruq-jXGcRrCgF11Odks3pOQ6mmJIJ7whyeFQ3aPiZ7n03WoP26ydQ=s0-d-e1-ft#http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_0438.jpg)
![DSC_0461](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/xNek0aphFu6lqooka1vFvNPYJ8jlBIQzBqbYYg3k1q7w6cyhbYVP67bi7mEu1Opkv6apbypRtF8VDyQaG-EBlX2KxViwQY_I9ZTFcn61pY218g=s0-d-e1-ft#http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_0461.jpg)
MKALI wa muziki wa rege nchini Innocent Nganyagwa anajiandaa kutoa filamu inayohusu maisha yake kama sehemu...