Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama Kayai: Mzee Ojwang alipuuzwa

Nairobi, Kenya. Siku mbili baada ya gwiji wa kuvunja mbavu kutoka Kenya, Benson Wanjau `Ojwang’ kuaga dunia katika Hospitali ya Taifa ya Kenyatta, mchekeshaji mwingine aliyekuwa akifanya kazi kwa ukaribu kabisa na Mzee huyo (kama mkewe), Mary Khavere `Mama Kayai’, amesema ingewezekana kabisa kuokoa maisha ya mzee huyo lakini alipuuzwa na hakuna aliyekuwa akisikia kilio chake cha muda mrefu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MZEE OJWANG AFARIKI DUNIA

MWIGIZAJI nguli raia wa Kenya, Benson Wanjau 'Mzee Ojwang' amefariki dunia jana jioni akiwa Hospitali ya Taifa ya Kenyatta, alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa homa ya mapafu (Pneumonia). Mzee Ojwang atakumbukwa katika Vipindi vya Televisheni kama Vitimbi, Vioja Mahakami, Vituko na Kinyonga. Amefariki akiwa na umri wa miaka 78.

 

10 years ago

BBCSwahili

Afrika yaomboleza Mzee Ojwang

Risala za rambirambi zamiminika kuomboleza kifo cha muigizaji nyota wa vipindi vya kuchekesha 'Mzee Ojwang'

 

10 years ago

BBC

Kenyans mourn comedian 'Mzee Ojwang'

Kenyans mourn comedy star Benson Wanjau, known by his TV character's name "Mzee Ojwang", who died too poor to pay his medical bills.

 

10 years ago

TheCitizen

Vitimbi star Mzee Ojwang dies at 78

Departed comedian Benson Wanjau, popularly known as ‘Mzee Ojwang Hatari’ of the Vitimbi television series, kept begging to meet President Uhuru Kenyatta during his last days.

 

10 years ago

Bongo5

Photos: Mzee Ojwang has finally been laid to rest

Mr. Benson Wanjau famously known as Mzee Ojwang’ has finally been laid to rest at the Lang’ata Cemetry in Nairobi, Kenya on Wednesday 29th July, 2015. His body was first taken to the Kenya National Theatre where he spent most of his time, and later moved to the Nyayo National stadium where the funeral service […]

 

10 years ago

GPL

MAMA LULU AANGUKIA KWA MZEE WA UPAKO

Na Mwandishi Wetu
Mama wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ameangukia katika Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo-Kibangu jijini Dar, linaloongozwa na Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako.’ Mama wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila. Chanzo kinasema kuwa mama huyo ameamua kujikita katika maombezi na kwamba hufika kanisani hapo kila...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MZEE YUSUF: Mfalme anayeikimbia taarabu na Chozi la Mama

HIVI karibuni kumetokea habari za kushtusha katika tasnia ya muziki wa taarabu baada ya mwimbaji maarufu wa muziki huo, Mzee Yusuf, kutangaza rasmi kuachana na muziki huo. Mzee Yusuf ambaye...

 

11 years ago

GPL

MAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MAMA WA MZEE MAKAMBA‏

 Mzee Yusufu Makamba akishauriana jambo na mwanae January Makamba wkati wa shughuli za mazishi zikiendelea. Mzee Yusufu Makamba amefiwa na mama yake mzazi aliyefahamika kama Mariam Masau Kivugo  kilichotokea tarehe 21 January 2014.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani